Hapo ni Mwakaleli laivu![emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1894847
Eva anaitwaje katika kitabu chenu kitakatifu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti "Eva"
Ila Kibwetere huyu wa Ubungo mi nimemkubali kutokana na msimamo wake thabiti.Kibwetere wamuache tu abweke hana madhara...[emoji16]View attachment 1894820
Hahahahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha Msukuma na Mnyakyusa wakioana mf. Mimi na wewe mtumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nini wa kila siku......hata wa kila saa. Labda wife.Lakini ni mpenzi wako wa kila siku
Yanini kusitisha muhamala??
Mlio naskiaga wanaweka ringtone kwahyo hakitupwi kitu[emoji23][emoji23]Wapi wenyewe[emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1894849
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1894847
[emoji23][emoji23]Mkali wa hizi kazi[emoji2088][emoji2088][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siyo kirahisi hivyo Mtumishi. Umejuaje kuwa nilikuwa namaanisha hicho na siyo kile? Unaweza kuthibitisha conclusively (and without any reasonable doubt) kuwa hicho ndiyo nilikuwa namaanisha na si kingine cho chote katika millions and millions of other possible meanings?
Nimependa sana hiyo picha hapo juu akiwa amegonga jeans [emoji106]
Wewe ni nomaNini wa kila siku......hata wa kila saa. Labda wife.
Ila hawa ingia toka,aisee hela yangu haipotei(in Magufuli voice).
Mwanamke jasiri[emoji2902][emoji2902][emoji2902]Eva anaitwaje katika kitabu chenu kitakatifu?
Yeye ndiye bingwa wa kusemeshana na majoka shwaini zake [emoji51][emoji51][emoji51]
Aaaa wapi!Nimependa sana hiyo picha hapo juu akiwa amegonga jeans [emoji106]
Atakuja kuwa rais wa wanyonge.
Naamini hatawanyonga hao wanyonge[emoji849]View attachment 1894864
Kama huyu namuitikia politely tu,nikishakata tu,narudisha muamala. Barakoa itakauka fasta.
Yes !!! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Nini wa kila siku......hata wa kila saa. Labda wife.
Ila hawa ingia toka,aisee hela yangu haipotei(in Magufuli voice).
Labda aniwahi. Ila bado hatokua salama. Kuna siku nitamkopa na akinipa ndo imeisha hiyo. Labda apotee mazima.Mda huo ishatolewa....
Njoo PM mtumishi upate zawadi yako japo hujathibitisha cho chote! [emoji16][emoji16][emoji16]Ama kweli msukuma akierevuka, mnyaki yu matatani. Fanya tu kunitumia bana Mtumishi