Hatimaye ameukwaa urais wa Zambia!The billionaire Hakainde Hichilema, back in the days. View attachment 1894554
He deserves.Hatimaye ameukwaa urais wa Zambia!
He really deserves!He deserves.
Itakuwa ajabu la dunia😬
Mi mwenyewe niliweka kama kumbukumbu, lakini kuna mjuaji ameichukua bhanaBado ninayo na inafanya kazi vizuri tu. Nokia sijui walizembea wapi yaani wakaachwa nyuma...
View attachment 1894518

😬Acha uvivu best unapika tu kuna ubaya ganiHakuna kitu kinakera....umeshiba zako huko,unarui nyumbani umetulia,halafu anakuja mtu anakuambia nipikie njaa inaniuma![]()
Picha ya mwisho ni tabia yangu hadi sasa
Shukrani sana kiongozi.Rukia 16, Shimba ya Buyenze, Mawardat,Moudgolf,Taavid
Ahsanteni kwa kufanya siku zangu ziwe zinaisha vizuri.... Natumaini mbinguni kuna Sehemu yenu maalumu. Ni vyema sana kuweka tabasamu kwa watu.
Ila Qwy wewe utasubiri, maana kadri unavyopost ndivyo unazidi kuomba Permanent permit ya kukaa motoni![]()



Mambo poa tu vipi mzima weweMzee wa kuguna,
Mambo Vipi????
Hakuna kitu kinakera kama kumuomba mwanamke akupikie chakula wakati ndo kwanza amemaliza kula.Hakuna kitu kinakera....umeshiba zako huko,unarui nyumbani umetulia,halafu anakuja mtu anakuambia nipikie njaa inaniuma![]()






Sijui kwaniniPicha ya mwisho ni tabia yangu hadi sasa

Hakuna kitu kinakera kama kumuomba mwanamke akupikie chakula wakati ndo kwanza amemaliza kula.
Anaringa huyo![]()





umemaanisha
Acha uvivu best unapika tu kuna ubaya gani
