T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
Namba mbili inasemaje?Unataka niseme no 2
Namba mbili inasemaje?Unataka niseme no 2
Kapelekwa shule kusoma sio kuwaza kumwaga ndani,Alitumwa kumwaga ndani?
Tuombeane tukutane sehemu pema mkuu [emoji120][emoji28]Rukia 16, Shimba ya Buyenze, Mawardat,Moudgolf,Taavid
Ahsanteni kwa kufanya siku zangu ziwe zinaisha vizuri.... Natumaini mbinguni kuna Sehemu yenu maalumu. Ni vyema sana kuweka tabasamu kwa watu.
Ila Qwy wewe utasubiri, maana kadri unavyopost ndivyo unazidi kuomba Permanent permit ya kukaa motoni[emoji38]
Ni no 2,,Angalia inasemaje[emoji2902][emoji2902]Namba mbili inasemaje?
Kwani kumwaga ndani wewe umeelewaje?Kapelekwa shule kusoma sio kuwaza kumwaga ndani,
Aaaaaahmmmmmh,,,,kumwaga maji machafu tena ni maji ya shombo la dagaa la mwanza,Kwani kumwaga ndani wewe umeelewaje?
Au kumwaga ndani ni nini?[emoji3]
Ila Afrika jamani tuna mambo dah!Kwani wao wanalijua hili..,View attachment 1894621
Mwingine ni ukatili sasa [emoji16][emoji16]
Tumaini na Laurent wametisha sana. Makofi kwao [emoji122][emoji122][emoji122]
Nyegezi konaNi no 2,,Angalia inasemaje[emoji2902][emoji2902]
YaapNyegezi kona
Tuko pamoja bageshi. Furaha na tabasamu ni muhimu sana hasa siku hizi zilizotawaliwa na vifo na habari za majonzi kila kona. Mungu na Atusaidie tupendane na kutakiana mema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Rukia 16, Shimba ya Buyenze, Mawardat,Moudgolf,Taavid
Ahsanteni kwa kufanya siku zangu ziwe zinaisha vizuri.... Natumaini mbinguni kuna Sehemu yenu maalumu. Ni vyema sana kuweka tabasamu kwa watu.
Ila Qwy wewe utasubiri, maana kadri unavyopost ndivyo unazidi kuomba Permanent permit ya kukaa motoni[emoji38]
Hata mimi. Been there done that [emoji16]Duh[emoji23]View attachment 1894646