Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hahaha....Huyu mjukuu wako changamoto kwa kweliNakwambia huyu mjukuu wangu ni changamoto sana sometimes. Kwema bageshi?
Kuna mambo matatu tu tunayotaka mjukuu wangu.Hamueleweki mnataka nini[emoji41]View attachment 1894520
Uzuri wa mwanamke kabla hujamkojoleaHamueleweki mnataka nini[emoji41]View attachment 1894520
Heshima kama mume iwe ya pili msosi ya tatu maana wapo mama ntilie wanapika vizuri kiliko ata wifeKuna mambo matatu tu tunayotaka mjukuu wangu.
1. Mbususu
2. Msosi
3. Kuheshimiwa kama mume
Ukizingatia haya maeneo matatu kwa mwanaume umeshamaliza...
Unaweza kubadili vyo vyote unavyotaka mkuu. Hayo yalikuwa maoni yangu tu. Kama unaweza kula kwa mama Ntilie kila siku poa tu ila mwanamke asiyejua kupika ni shida ndani ya nyumba [emoji16]Heshima kama mume iwe ya pili msosi ya tatu maana wapo mama ntilie wanapika vizuri kiliko ata wife
Hela ya kuandaliwa hivyo unaacha?..Hamueleweki mnataka nini[emoji41]View attachment 1894520
Mwanaume umpe mbususu,chakula kitamu,heshima lakini atatoka tu nje bana,,Kuna mambo matatu tu tunayotaka mjukuu wangu.
1. Mbususu
2. Msosi
3. Kuheshimiwa kama mume
Ukizingatia haya maeneo matatu kwa mwanaume umeshamaliza...
Sawa,endeleeni na huo unyamaUzuri wa mwanamke kabla hujamkojolea
Kuachwa kupo palepale[emoji23]Hela ya kuandaliwa hivyo unaacha?..