Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mimi za begani na matakoni hata unichome mia. Kimbembe ni kale kasindano ka kwenye kidole wanakushtukiza hivi uwiii [emoji16]Binafsi naogopa sana sindano za manesi, bora unidunge kwa kisu.