Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Rukia 16, Shimba ya Buyenze, Mawardat,Moudgolf,Taavid
Ahsanteni kwa kufanya siku zangu ziwe zinaisha vizuri.... Natumaini mbinguni kuna Sehemu yenu maalumu. Ni vyema sana kuweka tabasamu kwa watu.

Ila Qwy wewe utasubiri, maana kadri unavyopost ndivyo unazidi kuomba Permanent permit ya kukaa motoni

Ujumbe nimeupokea, ngoja niongeze bidii ili nisije kuipoteza hiyo nafasi ya permanent permit ya motoni.
 
.
IMG-20210816-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom