[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1894550
Kuacha kuvuta sigara ni jambo rahisi sana. Ninajua kwa sababu nimefanya hivyo mara nyingi sana -
Mark Twain
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]looh!!!View attachment 1894565
Pamoja mkuu[emoji120][emoji120][emoji4][emoji4]Rukia 16, Shimba ya Buyenze, Mawardat,Moudgolf,Taavid
Ahsanteni kwa kufanya siku zangu ziwe zinaisha vizuri.... Natumaini mbinguni kuna Sehemu yenu maalumu. Ni vyema sana kuweka tabasamu kwa watu.
Ila Qwy wewe utasubiri, maana kadri unavyopost ndivyo unazidi kuomba Permanent permit ya kukaa motoni[emoji38]
Mie mzima kabisa,Mambo poa tu vipi mzima wewe
MmmmmmmmhUlitumwa[emoji23]View attachment 1894582
Jamani,mdingi anakunywa pombe balaa,,,,tupo kwenye harakati kama hii[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujumbe nimeupokea, ngoja niongeze bidii ili nisije kuipoteza hiyo nafasi ya permanent permit ya motoni.
[emoji120][emoji120]
Shukrani sana kiongozi.
Mi napenda sana furaha, kwahiyo napendelea kushare vucheko ili angalau tusahau kwa muda changamoto zetu za maisha.
Asante sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Pamoja sana, Endeleeni kushea maana mnatumia bando na muda wenu kutufarahisha. Btw haka kauzi ndio kalifanya ni-Unstall FB, maana nilichokua nafuata naapata humu.Pamoja mkuu[emoji120][emoji120][emoji4][emoji4]
Eee,alitumwa[emoji16]Mmmmmmmmh
Umechagua Ovyooooo wakati hiyo Ovyooooo haipo hapo kwenye unajisiaje....Mie mzima kabisa,
Namshukuru Allah.
Tupo pamoja ndugu,,,,,,binafsi napenda kucheka[emoji1787]Pamoja sana, Endeleeni kushea maana mnatumia bando na muda wenu kutufarahisha. Btw haka kauzi ndio kalifanya ni-Unstall FB, maana nilichokua nafuata naapata humu.
@Malachiach nilikusahau ajili ya ugumu wa jina..
Kule pita kimya kimya tu maana kuna watu wamejitoa fahamu zao [emoji16]Ahsante sana mkuu.
Kuna mjinga mjinga aliniudhi huko jukwaa la siasa asee nilimtupia maneno yale mazito zito then nikalala.. Kuamka nakuta DP "BANNED" hahahahah..
Nimekoma jukwaa la siasa siendi tena.. Mimi ni wa hapa hapa.
Unataka niseme no 2Umechagua Ovyooooo wakati hiyo Ovyooooo haipo hapo kwenye unajisiaje....
Ebu chagua nyingine bhana
Alitumwa kumwaga ndani?Eee,alitumwa[emoji16]