Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,200
Shikamoo babuNjooni PM tu wajukuu zangu tuongee. Miaka 76 sasa wala sina maneno mengi. Njooni mchote busara na nasaha zangu kabla sijaumaliza mwendo [emoji1545]
Shikamoo babuNjooni PM tu wajukuu zangu tuongee. Miaka 76 sasa wala sina maneno mengi. Njooni mchote busara na nasaha zangu kabla sijaumaliza mwendo [emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umevurugwa[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Weekend loading...[emoji1734][emoji1734]
View attachment 1890857
Hii haina tabu, mpaka jioni babu yako atakuwa keshapokea pdf huko pm[emoji16]Andika barua ya maombi ya kuingia pm,maombi yapite kwa babu[emoji1419]
[emoji16][emoji16][emoji16]najua huwezi kuniangusha mzee wanguUkija unaongea Kiarabu nitakuachilia. Vinginevyo jiandae kwa mashambulizi makali [emoji123][emoji123][emoji123]
Marahaba mjukuu wangu. Ukija PM usisahau yale makitu uliyoniahidi siku ile...Shikamoo babu
Huyu afande sijawahi kumwelewa tangu nione hizi picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio alivyo yuko kama comedy fulani ila ni mkaksi balaaHuyu afande sijawahi kumwelewa tangu nione hizi picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Uno moja chaliii kama askofu Chidi
Fanya hivyo[emoji3061]Hii haina tabu, mpaka jioni babu yako atakuwa keshapokea pdf huko pm[emoji16]
Enzi hizo ukinunua kitu hakiharibiki mpaka unakichoka mwenyewe.Ni, ya nini hii??View attachment 1890107
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan na huo uzee hausahau duuh!Marahaba mjukuu wangu. Ukija PM usisahau yale makitu uliyoniahidi siku ile...
Sisi huku samaki wanakaangwa kwa mafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mr English unaikumbuka hii pisi?[emoji115]
[emoji12]Fanya hivyo[emoji3061]
Hili mwela mukaka kabisa
Sana[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umevurugwa