Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20210813-WA0149.jpg
 
[emoji2788] Ana google! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Hataki kupitwa
Hivi unaelewa kifaransa au kihispaniola?
Tumchomoke huyu babu yake mawardat
Labda muongee kichina,kidogo mtamkomoa lakini sio sana maana anaelewa kidogo[emoji23]

Kifaransa anaelewa[emoji16]
Ni hao! Kichina kigumu kilinishinda!!
Hivo vilugha sivielewi hata[emoji1787][emoji1787]
Ongeeni kingoni[emoji16]
Mi nawacheki tu yaani [emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]

20180607_115953.jpg
 
Back
Top Bottom