Ok,kumbe ndio hivo,asanteUnaangalia status za watu bila kujulikana[emoji16]
Hii haina tabu, mpaka jioni babu yako atakuwa keshapokea pdf huko pm[emoji16]
Mkazie hivyo hivyo huyo baharia mjukuu wangu. Sijaona pdf wala nini. Hapa nilipo nimefura vibaya sana [emoji51][emoji51][emoji51]Fanya hivyo[emoji3061]
Nisahau? I live for that madude. Na japo niko 76 lakini bado niko sharp kishenzi. Nachezaga masudoku na games nyingine za kunoa akili. Sisahau kitu wallahi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan na huo uzee hausahau duuh!
Tumbo ndiyo raha yenyewe hiyo. Kama hutaki tumbo basi vimbaumbau vinakuhusu [emoji51][emoji51][emoji51]
Makamanda na matusi ni kama chanda na pete [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kabila gani huyu mende oooops sorry namaanisha huyu polisi.