rukia16
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 2,978
- 31,040
Ili uje utafsiri baadae au ndio wivu sina ila roho inauma[emoji1787][emoji1787]Tumieni Kiarabu bana. Mnaboa kichizi yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Ili uje utafsiri baadae au ndio wivu sina ila roho inauma[emoji1787][emoji1787]Tumieni Kiarabu bana. Mnaboa kichizi yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Wacha aning'ate tu, lakini ujumbe utakuwa delivered [emoji16]Paka na mbwa hawaendani,.....babu yangu anafuga mbwa huko pm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha weeh!!!Mi nawacheki tu yaani [emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1890810
Babu janja hili[emoji1787]Ili uje utafsiri baadae au ndio wivu sina ila roho inauma[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha aning'ate tu, lakini ujumbe utakuwa delivered [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sura imekaa kinyamera sana!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nawacheki tu yaani [emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1890810
Andika barua ya maombi ya kuingia pm,maombi yapite kwa babu[emoji1419]Wacha aning'ate tu, lakini ujumbe utakuwa delivered [emoji16]
Kichina na Kiarabu ziko katika kiwango kimoja cha ugumu. Nimeshajaribu zote mbili na zote zikanishinda. Kiarabu ni huo mfumo tata wa irabu katika mzizi wa vitenzi na nomino:Ni hao! Kichina kigumu kilinishinda!!
3225[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tujenge barabara yakwenda Dole.Eti elfu tano,makato sh.ngap??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemuonaee[emoji1787][emoji1787]Babu janja hili[emoji1787]
Ukija unaongea Kiarabu nitakuachilia. Vinginevyo jiandae kwa mashambulizi makali [emoji123][emoji123][emoji123]Wacha aning'ate tu, lakini ujumbe utakuwa delivered [emoji16]
Babu janja hili[emoji1787]
Njooni PM tu wajukuu zangu tuongee. Miaka 76 sasa wala sina maneno mengi. Njooni mchote busara na nasaha zangu kabla sijaumaliza mwendo [emoji1545]Umemuonaee[emoji1787][emoji1787]
Nilishapitiaga huu msoto aisee. Maisha bana!!
Na viatu vyake kama amekanyaga kaburi!![emoji23][emoji23][emoji23]Kupiga pichaView attachment 1890691