Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,411
Kweli bhana ngoja nifanye hivyoHiyo ni Brand new kabisaππππππππππππππ
Wamekuachia ung'ate mwenyeweππππππππππππ
Kweli bhana ngoja nifanye hivyoHiyo ni Brand new kabisaππππππππππππππ
Wamekuachia ung'ate mwenyeweππππππππππππ
Hujaona hata shuleni wameweka vyumba na vina milango na madirisha!?kwani haiwezekano???


Halafu hii kitu nmeshangaa sana. Wengi wa wanaojiita wanaharakati wamemuwekea chuki ya hali ya juu kijana wa watu utafikiri pesa anazopata zmetoka kwenye mgao wa serikali .. wakati mtu anapambana kwa jasho lake lakn kundi la wanaharakati njaa wamejaa na hasira hatariMARTIN MAYANJA MASESE.
na kunao watu wamemfollow taahira kama huyu
Anataka atapike kisa mafanikio ya mwingine
USHAURI WANGU KWAKE.
anywe maji mengi sana kwa sababu badala ya kutolea mapovu mafanikio ya wengine atakua bize tuu kukojoa chooni.
Muda huo atakosa kabisa
Matackle kabisa![]()
Hujaona hata shuleni wameweka vyumba na vina milango na madirisha!?
Mafunzo ya hapa hadharani ni sawa na kuweka darasa chini ya mwembe, likianguka embe utakimbilia
Mafunzo yatafanyika mahali pa faragha
usinibanie,nipe somo...nasubiriWatu wamejaa wivu wa ajabu.Kuna watu gari la diamond vifua vinafura moto View attachment 1854873View attachment 1854874View attachment 1854875

Nikiipenda nai-download
Watu wamejaa wivu wa ajabu.
Ndiyo maana ukiwa na hela zako jifanyie mambo yako kimyakimya.
Yaani gari la mtu mwingine unamwaga povu kama lote.
UmetishaNikiipenda nai-download
Hii iwekewe lamination kabisa. Last borns hoyeeee




Kama Katiba na sheria zao nyingiene zimekaa kwenye mfumo wa kibaguzi basi wazifumue.
Haiwezekani nchi moja iwe na sheria kwa watu tofauti.
Lakini hili ni jambo lingine, kikubwa sheria iliyopo imetekelezwa.
Kuhusu Jaji au hakimu kujiondoa kwenye shauri lako ni jambo la kisheria.
Mathalani kwa sheria za Tanzania mshitakiwa anaruhusiwa kuomba hakimu abadirishwe, lakini huyo hakimu au Jaji ana hiyari, kujiondoa au kutojiondoa.










Ni mwanaharakati wa nini huyu mporomosha matusi mitandaoni?MARTIN MAYANJA MASESE.
na kunao watu wamemfollow taahira kama huyu
Anataka atapike kisa mafanikio ya mwingine
USHAURI WANGU KWAKE.
anywe maji mengi sana kwa sababu badala ya kutolea mapovu mafanikio ya wengine atakua bize tuu kukojoa chooni.
Muda huo atakosa kabisa
Matackle kabisa![]()


. Changed man mai futi!


Kwenye nyimbo 'sophisticated' ya Rick Ross anakwambia "even the black folk hate to see another nigga made it" ni kawaida yetu binadamu hasa ngozi zetu hizi, yani huwa tunachukia tu mafanikio ya mtu!Halafu hii kitu nmeshangaa sana. Wengi wa wanaojiita wanaharakati wamemuwekea chuki ya hali ya juu kijana wa watu utafikiri pesa anazopata zmetoka kwenye mgao wa serikali .. wakati mtu anapambana kwa jasho lake lakn kundi la wanaharakati njaa wamejaa na hasira hatari
Nn tna hzo???