Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,386
MnavyojidanganyaWengi (kama siyo wote) tutakwenda akhera/Paradiso. Wanaume wengi hatuna madhambi kihivyo. Kwa hivyo Molla Ataamrisha: Wanaume wote akhera![]()
Trust me: Wanaume wote akhera !!!Mnavyojidanganya
Atueleze hapa hapa tujue japo nilishamwona kule kwenye kuselfika. Dogo ana vidimpozi vya kishikaji na bado pengine ndo kwanza anagusa eitiini japo alikuwa amejiziba na maemoji ya kila aina...












Siku zote nyie wakamilifu bhanaTrust me: Wanaume wote akhera !!!

Huyu jamaa Inatakiwa aje siku ya ugawaji wa 5M kwa mshindi wa JF
hapana mkuuNa wewe ni last born mkuu?
Aliyefanya wiring ya umeme ashitakiwe