Aaaah waaapi[emoji1]Nitakuja PM kulia lia na kubembeleza mpaka unipe
Huyo wa kulia kichwa kama Jacob Zuma
Sa nikufundishie hapa hadharani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nifundishe
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Mtumishi, mimi nitakuwa Freemason?[emoji22][emoji22]
Eeeh jamani kumbe una nini?[emoji23]sina dimples[emoji3]
[emoji23]kwani haiwezekano???Sa nikufundishie hapa hadharani?
Mambo ya siri yafanywe kwa siri, unataka watu waige?[emoji23][emoji23]
Hii nayo ni joke!?[emoji848]
[emoji23][emoji16][emoji16]View attachment 1854688