Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Classmates wanazingua 😂jamani
Dogo analelewa kwapaniNitamrukia huyo dogo. Rafiki hatoamini

Na mlio wanaweka kwenye simu kama ringing tonewamebakiza mlio


Bora lawamaHuyo mtoto atapokea teke hilo alafu nawatimua kwa sababu sio wastaarabu kabisa.
Huo ujinga mm siwez kuvumilia hata robo
Bora urafiki au undugu uishe lkn sio kutiana hasara hvo![]()
malezi mabovu,mtoto haogopi kitu cha mtu.Ila mambo ni tofauti sana....yaani wengine wanawaza wataachaje,wengine wanawaza watapataje.....duh.