Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
😀😀😀[emoji27][emoji27]View attachment 1833565
😀😀😀[emoji27][emoji27]View attachment 1833565
Huyu kwanza ana matatizo ya lishe huyu. Msukuma gani wa hivi? Huyu likely ni Mnyaki wa huko huko kwenu; na ameathirika na lishe legelege ya ndizi na maparachichi.
Tuwe na wangapi eti madam[emoji3]
Najaribu kuwaza destination yake ilikiwaje aaahahahahahahahaaahahahahahaaa looh jamanii
Akisema ageuke arudi alikotoka atarudishwa tuu na mteremko wa hiyo slide tena ndo itakuwa mbaya zaidi maana atakuwa anabong’oa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaahahahahahahahhahahaaaaaaa uuwiiiiiii nisaidieni jamani aahahahahahahahhaaaaaa
Asante sana nimerudiPole sana mkuu na karibu tena. You were missed!
Washindweeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na usiombe wafungwe na simba bus linakimbia siyo kawaida
Mwamba haamini anachokiona.Sitakaa nifanye tena utopolo wa kuingia leba. Akina mama wote heshima zenu sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1832926
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alienda kanisani kusali ilikuwa jpili akapitia mazima na biblia
Hivi hawa jamaa wanatoka nchi gani? Wanatrend sana huko mtandaon