Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka zaidi!Mbavu zangu jamani aahahahahahahahhaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kama hiyo nyumba ulimnunulia usiku mlango ukitikisika we kunja ngumi tu uwe tayari kwa lo lote. Waweza kuwa ulimnunulia nyumba mke/mpenzi wa watu....[emoji23][emoji23]View attachment 1832826
I love this [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1832822
Hata kama hiyo nyumba ulimnunulia usiku mlango ukitikisika we kunja ngumi tu uwe tayari kwa lo lote. Waweza kuwa ulimnunulia nyumba mke/mpenzi wa watu....
Asije tu akachukua pillow na kufanya yake [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka zaidi!
[emoji16][emoji16]Asije tu akachukua pillow na kufanya yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Akisema ageuke ndio itakuwa balaa kabisaa[emoji16][emoji16]. Lakini utaogeleaje uchi kabisa!Najaribu kuwaza destination yake ilikiwaje aaahahahahahahahaaahahahahahaaa looh jamanii
Akisema ageuke arudi alikotoka atarudishwa tuu na mteremko wa hiyo slide tena ndo itakuwa mbaya zaidi maana atakuwa anabong’oa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaahahahahahahahhahahaaaaaaa uuwiiiiiii nisaidieni jamani aahahahahahahahhaaaaaa
Akisema ageuke ndio itakuwa balaa kabisaa[emoji16][emoji16]. Lakini utaogeleaje uchi kabisa!
Hata kama kila mtu yuko hivyo usikae 'butt naked' aisee. Ndio mambo kama hayo yanatokea unajikuta huna jinsi[emoji16][emoji16]Naona hapo itakuwa without beach, karibia wengi wako without [emoji12].
Hata kama kila mtu yuko hivyo usikae 'butt naked' aisee. Ndio mambo kama hayo yanatokea unajikuta huna jinsi[emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]basi acha apimwe Uviko-19Aahahahahahaa itakuwa alinogewa na uterezi wa slides akajisahau badala ya kukenua meno akakenua makalio aaahahhaahhahaahahahahaaa looh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]basi acha apimwe Uviko-19
Aiseeee hahahahahah [emoji16][emoji16]Kwakweli, tumsaidie cotton buds kwa ajili ya kusukutulia baada ya kipimo mujarabu
Aahahahahhahahaaa.
Kuna staili hapa haziwezekaniki. Usiniulize ni staili za nini. Shwaini [emoji16][emoji16][emoji16]