Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,268


Bageshi. Mauzauza yaani. Wanawake heshima yenu. Leba kule siyo kwa mchezo mchezo wallahiUliona nini?

Pole sana mkuu na karibu tena. You were missed!
Ajabu baada ya miezi kadhaa ataanza kuililia tena mbususu hiyo hiyo iliyomtoa jicho leba.Jamaa haamini macho yake, hapo anajisemea tukitoka hapa staki kujua kitu kinachoitwa mbususu
Huyu kwanza ana matatizo ya lishe huyu. Msukuma gani wa hivi? Huyu likely ni Mnyaki wa huko huko kwenu; na ameathirika na lishe legelege ya ndizi na maparachichi.Msukuma amefika Mbeya, akaamua kuwaonyesha ubunifu wenyeji wakeView attachment 1833567
Waeleweshe hao hawaelewi kitu. Badanganu getegeteKwanza wasukuma og hatuli ugali unaotokana na unga wa sembe hata siku moja. Sisi ugali ni dona....
Sent using Jamii Forums mobile app



😀😀😀😀Sisi sasa, mbona cash madameView attachment 1833557
Tuwe na wangapi eti madam😀