Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
We mkubwa ujue!![]()
Usinishushe nafasi yangu banaa, mie jizee...!
We mkubwa ujue!![]()
Nilitaka kusema hiliHuyu kwanza ana matatizo ya lishe huyu. Msukuma gani wa hivi? Huyu likely ni Mnyaki wa huko huko kwenu; na ameathirika na lishe legelege ya ndizi na maparachichi.
Sisi sasa, mbona cash madame
financial services alipoachwa akamwambia ex wake ana kichwa kama maburunge yake. Sasa ukijua maburunge nini utamuonea huruma jamaaSisi sasa, mbona cash madameView attachment 1833557
View attachment 1833557
Msukuma amefika Mbeya, akaamua kuwaonyesha ubunifu wenyeji wakeView attachment 1833567
uongo wa kwamba ukimgusa tu unavunja chungu
Shukurani sana mkuu 🙏🙏🙏Pole sana
Makofi kwetu wanawakeBageshi. Mauzauza yaani. Wanawake heshima yenu. Leba kule siyo kwa mchezo mchezo wallahi![]()


Msukuma geukaaaaaaaaHebu ageuke nyuma kidogo tafadhali nimalizie kuchukua mshono ...


