Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Aahahahahahhaa looh
Mi nachukua vipimo / mshono tuu sina la ziada 😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi sio vituko mitandaoni sasa..hizi ni dhihaka kwa watanzania wenzio
Kwetu unapigwa faini ukifanya huo ujinga🤣🤣
Stand 🤣🤣.......ngoja nirudi mazoezini nimeyasusa kama 3months naona kilo 4 zimeongezeka nisije fika huko tu
Aaah human nature
Hii tuhuma nzito🤣