Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,379
Musukum...Unafikiri huyu jamaa ni kabila gani? Mimi nadhani ni Mnyaki baada ya kuuza maparachichi yake
View attachment 1823709



Huyu ndo alitakiwa apewe ukuu wa wilaya,si Mchopanga wala Niki.Weweee kaza mattercall hapo unaweka foleni
Salute kwako hawa jamaa alfajiri wapo road kurudi home usikuView attachment 1824324
Tsh.000.00/=.....wakikataa wabaki nae.Mi laki tano mwisho
View attachment 1824301
Ila hizo kucha kama chafu sana.....au ni macho yangu.Mabaharia mko wapi? Hii mbona ofa nzuri tu?
View attachment 1824296
Huyo wa kulia ni muongo na mwizi tu....hawa ndo wale hawakawii kukuambia anaisikia imefika kwenye trakea.
Kile kinguo alivaa juzi kati akawa kama demu ndo kimemuondoa kwenye mkeka.