Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Nguvu ya Makeup!
Hongereni kwa hili 👏👏Si ndiyo maana nilisema sisi tuliwahi kujanjaruka
Hongereni kwa hili [emoji122][emoji122]
Sasa mnakwama wapi best? [emoji23][emoji23]
Ngoja nimwite SHIMBA YA BUYENZE akusikie 😂😂Tunawapa ta kampani wasukuma na ushamba wao
Weee acha bwana....jina langu kabisa full?
[emoji3064][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawasubiri hao umbu..[emoji1787]
🤣🤣Mimi nilitaka kujiweka kwa kuwa wote ni wa Kanda ya Nyonyo, tatizo lako hunitaki Kizee miye. Eti unasema unaogopa kupata kesi ya mauaji 😂 🙈🏃🏻🏃🏻
Wacha ngo’ombré zipande tu hakuna namnaAngalia kwa guu hilo la Taifa wasije wakapanda bei, hawachelewi kukupa ng'ombe 100 urudi nazo Pwani🙊😂
Wakifika nitaarifu nilale nje nijipatie mi hamu ya 48 hours
Machinga na bodaboda ni viumbe wanaoongoza Kwa roho ngumu.Kama siyo Tandika mtaa wa Chihota basi itakuwa Kariakoo mtaa wa Raha.
Tanesco wanapita hapo kila siku, lakini hawajali
Ndiyo utasahau na kurudi kwenu hivyo, manake niwajuavyo ndugu zetu kila wakikuangalia watakuwa wanashindana dau la Ng'ombe.Wacha Ng'ombe zipande tu hakuna namna
[emoji16][emoji16][emoji16] Smart girl !!!
View attachment 1821417
Hataki kupindisha 😂😂[emoji16][emoji16][emoji16] Smart girl !!!
View attachment 1821417