Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbu ambao wamefanyiwa mabadiliko ya vinasaba na kuwekwa Viagra wametoroka maabara ya Wuhan hivi karibuni. Mbu hao ambao ikitokea wamekung'ata unaweza kupata hisia na hamasa kubwa ya kufanya mapenzi/ngono/tendo la ndoa kwa muda wa masaa 48 bila kuchoka. Wakazi wa maeneo ya karibu na Wuhan China wengi wao wanaume wamejitokeza nje ya nyumba zao ili kusubiri kung'atwa na mbu hao ikiwa ni jitihada za kupata msisimko huo unaosababisha mashine kusimama na hamu tele kwa muda mrefu. Nasubuiri wafike na huku nione vile wazee wa kazi watakavyo lala nje bila net kusubiri dozi ya mbu viagra. Naona inakuja Viagra pandemic

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasubiri hao umbu..🤣
 
Wachina wametisha sana
 
Chakorii ni mnyakyusa tangu lini??
Sio Chakorii peke yake kwenye hilo kundi la marafiki niliowataja ambaye sio Mnyakyusa hata akina Nuzulati na wengine pia ambao sijawataja.

Lengo ilikuwa kuchagiza tu safari yao ya kwenda kuwaona watani zetu Wasukuma na kujifunza mawili, matatu kuwahusu.

Let's have funny here boss 🍾🥂
 
Wasukuma wenyewe wanasemaje kwanza mpendwa
 
Sio Chakorii peke yake kwenye hilo kundi la marafiki niliowataja ambaye sio Mnyakyusa hata akina Nuzulati na wengine pia ambao sijawataja.

Lengo ilikuwa kuchagiza tu safari yao ya kwenda kuwaona watani zetu Wasukuma na kujifunza mawili, matatu kuwahusu.

Let's have funny here boss 🍾🥂
Wala hujakosea G.mume wa kisukuma ajitokeze hapa mara moja.
 
.

15eea60052d3417fbd8473ad6e35436e.jpg
 
Back
Top Bottom