Me nimeshangaa maana kwenye radar zangu hakunaa mnyakyusa aliyepo baharini wote wapo nchi kavuWewe ulisikia wapi jaman
itafute hiyo imetokaa baada ya wajumbe wa kyela kufanya yaoIla bwana Mwakipesile, kule kwetu Busokelo hakujawahi kuwa na tukio afu nyimbo zake zisipigwe. Anatubariki sana