Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,023
- 61,233
Kwahiyo mnakubali kupitwa na Wasukuma? Me nadhani mkiongeza vituo kidogo mnawaondoa pale kileleni na nafasi yao ya ushamba mnaichukua 🙈😂🏃🏻🏃🏻Weee usiwachukulie poa wasukuma na ushamba wao ooooh
Kwahiyo mnakubali kupitwa na Wasukuma? Me nadhani mkiongeza vituo kidogo mnawaondoa pale kileleni na nafasi yao ya ushamba mnaichukua 🙈😂🏃🏻🏃🏻Weee usiwachukulie poa wasukuma na ushamba wao ooooh
Hujakosea kamanda:Kwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.
Baada ya vituko vya Wasukuma mnafuata nyie na kwa mbaali nawaona Wapare [emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322]
SHIMBA YA BUYENZE financial services
Eti Tokyo [emoji15][emoji15][emoji15]Tokyo mojaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]basi kashindikanaHahahaaa nimemuona halafu kwenye gazeti pa Mwananchi la leo anakata viuno kwenye kikao cha maza dah
Huyu naona anafaa kwa mechi za mdondo ni kabila gani huyuHahahaaa mdada alikamia mpaka alienda photoshoot yan sio picha za simu ni studio anajimanua