Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,133
Hii imenitokea live kabisa!Nakumbuka niliamka mapigo ya moyo yakiwa yanaenda kasi sana😡😡😡
Subiri utauona moto wa vimbaumbau soon. Vina hasira na gubu hatari [emoji1][emoji1][emoji1]
Huyu ni rafiki angu financial services😄😄😄
Muache Souli meti wangu jamani. Kimodo kirefu, cheupe, kiuno nyigu, guu guu halafu tako waaaah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huyu ni rafiki angu financial services[emoji1][emoji1][emoji1]
Hana tako,ni kimbaombao!Muache Souli meti wangu. Kimodo kirefu, cheupe, kiuno nyigu, guu guu halafu tako waaaah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hana tako,ni kimbaombao!
Sitaki urafiki na wewe😀😀😀 ,pua yakoHuyu ni rafiki angu financial services😄😄😄
Wewe ndiye rafiki yangu pekee ambae hana tako!🏃🏃🏃Sitaki urafiki na wewe😀😀😀 ,pua yako
Hii Mufindi bila shaka mkuuBange za chuga hazijaacha mtu SalamaView attachment 1789209
Ahsante kwa kunitetea Salimeti! Amenionea sana huyu mbaba sijui ananionaje mimi😒Muache Souli meti wangu jamani. Kimodo kirefu, cheupe, kiuno nyigu, guu guu halafu tako waaaah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hivi ungejua mimi ndiye yule Sanchi mwenye tako la kuvunja chaga usingesema hivi, hizi fake I'ds hizi basi tu😀😀Hana tako,ni kimbaombao!
😀😀 kwani tako ndiyo linalipa bills bana😬 usinichosheWewe ndiye rafiki yangu pekee ambae hana tako!🏃🏃🏃