Mijini ndo wanalipwa, vijijni wanafanya kijamiiWachimba Kaburi wanalipwa siku hizi hakuna haja ya kujipendekeza
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma mmezidi sasaView attachment 1808021
Vijijini kwetu wanalipwa siku hizi, maana tumegundua kujitolea kunawafanya wajione Wana umuhimuMijini ndo wanalipwa, vijijni wanafanya kijamii
Mmmh, huo mkeki !!
[emoji23][emoji23][emoji23]