Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Usitushambulie wanaume wa dar na hao wanaoitwa wa dar wakati wamekuja dar ukubwani kusaka maisha.Ukija dar kwa akili za mwenzako na mambo utakayokutana nayo lazima uwe hivyo tu mwanaume tata.Huyo mwijaku ni wa kigoma kaja dar kaharibikia dar kwa sababu yale mambo unayokutana nayo kichwa chako nacho kikiwa cha kucopy lazima yawe hivyo.kama huamini chunguza tu wale ambao wamezaliwa dar wamekulia dar na ukikuta mtu amekulia dar toka utotoni halafu afanye hayo wengi wao ni wale wameshindwa na maisha.mwisho kabisa acha vijana wengi kimbilio lao limekuwa dar pia na story wanazopewa ni za mazuri matupu mwisho wakija wanakutana na baadhi ya mambo kinyume na walivyotarajia wanajiingiza kwenye mambo ambayo hata huko walipokuwepo hawakuwa wanafanya.Chunguza tu asilimia kubwa ukisikia fulani ana mambo fulani kama historia ya maisha yake tu huenda marafiki aliokuwa nao wamempoteza na ndiyo maana tunashauriwa pia unapochagua marafiki uwe unatizama pia historia,kwa sababu historia huwa inajirudia pia huwa haidanganyi.
 
IMG_3618.jpg
 
Haya mkuuu
 
Back
Top Bottom