Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haya mkuuu

umefurahi ehh boss wee njoo tu uone kwa sisi ambao tumekulia dar si tunaona wakija wageni kutoka maeneo mengine wakianza mambo fulani wakiiva wanakuwa zaidi ya waliowakuta.kama ni mwizi unakuwa zaidi na kama ni uchawa ndiyo kabisaa.ona wakina dada wanaotoka mikoa mingine wakija mwanzo wanaonekana kama washamba fulani kwa sababu hawajui kwenda beat sasa ngoja waujue music.Dar sasa ndiyo vile ukipenda miteremko wapo masponsor ukiwa mchele unatwangwa .Yaani Dar isikie tu wengi wanaharibikiwa life kizembe.unaambiwa dar hakuna shamba ukalime ukiona ngedele ujue anafugwa.Ni mji mdogo tu ila mambo yake acha fanya uje kutembea week usije ukauziwa bahari maana huku matapeli wamejaa mno tena wa kiwango cha hali ya juu sana.Walivyo wajanja wanawangoja vituoni wale wanaokuja kutoka mikoani wanawakaribisha ili waibie tu.
 
Hacha kumtisha mwenzio.
 
714abb6e9e484959851100e7cd970791.jpg
 
Kwa hiyo inawezekana huyo watu wameshaanza kumtafuna nn maana kaja na gari la mkaa leo anajifanya mtoto wa town kweli
 
Tumeziishi enzi! Picha ni nje ya mada lakini ni kituko kumfanya mtoto wa mwenzako hivi..halafu ni ukatili mkubwaView attachment 1808953

Sent using Jamii Forums mobile app

SubhanaAllah ni imani tu unajua ona waivyomkata yule mwandishi wa saudia kule kwenye ubalozi mdogo wa nchi yake uturuki vipande vipande na mashine ya kukatia nyama.Watu wanafanya mambo kama hakuna siku ambayo watakuja kuhesabiwa na wao walipwe.sisi ndiyo binadamu sasa hatari kuliko wanyama.
 
Back
Top Bottom