Sijui hata tunaelekea wapi aisee. Tukiendelea hivi tutakuwa kama maroboti tu. Kufikia mwaka 2200 huko sijui itakuwaje.View attachment 1809214
Dereva na mtayarishaji wake wote wapo busy na simu kuchat aisee hizi simu zimetufanya tuonekane kama wehu.
Sijui hata tunaelekea wapi aisee. Tukiendelea hivi tutakuwa kama maroboti tu. Kufikia mwaka 2200 huko sijui itakuwaje.
Usitushambulie wanaume wa dar na hao wanaoitwa wa dar wakati wamekuja dar ukubwani kusaka maisha.Ukija dar kwa akili za mwenzako na mambo utakayokutana nayo lazima uwe hivyo tu mwanaume tata.Huyo mwijaku ni wa kigoma kaja dar kaharibikia dar kwa sababu yale mambo unayokutana nayo kichwa chako nacho kikiwa cha kucopy lazima yawe hivyo.kama huamini chunguza tu wale ambao wamezaliwa dar wamekulia dar na ukikuta mtu amekulia dar toka utotoni halafu afanye hayo wengi wao ni wale wameshindwa na maisha.mwisho kabisa acha vijana wengi kimbilio lao limekuwa dar pia na story wanazopewa ni za mazuri matupu mwisho wakija wanakutana na baadhi ya mambo kinyume na walivyotarajia wanajiingiza kwenye mambo ambayo hata huko walipokuwepo hawakuwa wanafanya.Chunguza tu asilimia kubwa ukisikia fulani ana mambo fulani kama historia ya maisha yake tu huenda marafiki aliokuwa nao wamempoteza na ndiyo maana tunashauriwa pia unapochagua marafiki uwe unatizama pia historia,kwa sababu historia huwa inajirudia pia huwa haidanganyi.
Haya mkuuu
Huu ni utani tu mkuu wala hakuna hata ya kujitetea hivi. Wanaume wa Dar vs mikoani, Simba vs Yanga, Wasukuma na Wanyakyusa (ushamba), Wapare (ubahili), Wahaya (majigambo), Wahehe (kula mbwa na kujinyonga)....Utani ni kitu chema katika jamii ali mradi usivuke kiwango na kuharibu heshima!![]()
umefurahi ehh boss wee njoo tu uone kwa sisi ambao tumekulia dar si tunaona wakija wageni kutoka maeneo mengine wakianza mambo fulani wakiiva wanakuwa zaidi ya waliowakuta.kama ni mwizi unakuwa zaidi na kama ni uchawa ndiyo kabisaa.ona wakina dada wanaotoka mikoa mingine wakija mwanzo wanaonekana kama washamba fulani kwa sababu hawajui kwenda beat sasa ngoja waujue music.Dar sasa ndiyo vile ukipenda miteremko wapo masponsor ukiwa mchele unatwangwa
.Yaani Dar isikie tu wengi wanaharibikiwa life kizembe.unaambiwa dar hakuna shamba ukalime
ukiona ngedele ujue anafugwa.Ni mji mdogo tu ila mambo yake acha fanya uje kutembea week usije ukauziwa bahari maana huku matapeli wamejaa mno tena wa kiwango cha hali ya juu sana.Walivyo wajanja wanawangoja vituoni wale wanaokuja kutoka mikoani wanawakaribisha ili waibie tu.
Huu ni utani tu mkuu wala hakuna hata ya kujitetea hivi. Wanaume wa Dar vs mikoani, Simba vs Yanga, Wasukuma na Wanyakyusa (ushamba), Wapare (ubahili), Wahaya (majigambo), Wahehe (kula mbwa na kujinyonga)....Utani ni kitu chema katika jamii ali mradi usivuke kiwango na kuharibu heshima!
View attachment 1809241





Asante UstadhiKwa sisi ambao tumesoma elimu ya dini ya uislam kuna upande fulani unasema kuzika ni kitendo cha kutoshelezana( maana yake mtaani kwako kafa mtu wakatokea wawili au watatu wakamsitiri kwa kumzika inatosha)ila kama kijijini kwako akafa mtu mkamuacha kama kafa mbwakijiji kizima mnapata dhambi na hata huyo mbwa mwenyewe kwanza japo ni mnyama ile harufu yake tu itawasumbua nyie majirani mtatafuta sehemu muusitiri mzigo sasa sikwambii mzoga wa binadamu iweje mji mzima washindwe hata watu kadhaa wasindwe kumhifadhi binadamu mwenzao.Hayo masuala mengine ya pesa yamekuja tu miaka ya karibuni,kuna mtu maalum au kikundi maalum ndiyo kazi yao hiyo na wanalipwa.ila kiubindamu kila familia inatakiwa ijue namna ya kuzika ili wahifadhiane aibu ndugu.Asikuambie kuna watu wengine wakifa wanatisha japo ashakuwa mzoga ila ikiwa kwenye familia kukiwa na wajuzi wa jambo hilo wanamsitiri ndugu yao kwa kuzika,kuliko kwenda kutafuta mtu wa nje aje amzike ni wajibu kujifunza sema tu huu usasa ndiyo umetuharibu.

