hapana mkuuHili Jimbo linaonekana Bado lipo waz
stidy
As long as unaendelea kuishi ni bora ukaseama unaomba Mungu akusaidie usije kufanya jambo fulani tena.
Kusema hutokuja fanya unaweza kujidanganya mambo yanabadilika asee.
Hata akikupa shavu mkuu akakuweka kitengo?Binafsi sitakuja kumpigia kura tena Magufuli hata maisha yageuke vipi?
Hata akikupa shavu mkuu akakuweka kitengo?
Kaati ya nini?
Mshana umesomeka brother.Kulala na maiti bush
Jr[emoji769]
[emoji144][emoji144][emoji144]Mshana umesomeka brother.
Siwezi share hapa mkuu....[emoji58]Kwann mkuu?
Una shida yoyote waweza shea?
Kumpenda na kumuamini mtu asilimia 100% hata 70% tu. HAITAKAA ITOKEEEEEE KAMWWEE[emoji26]
Kumthamini Mtu kuliko Mimi Mwenyewe
Kumfurahisha mtu ili hali naumia
Kuogopa kumwambia Mwanamke Sina au Sitaki.
Never ever wait for something you want to come automatically, you need to fight for what you want.Usilazimishe Mambo acha yaje Automatically
Usitegemee mtu