Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,049
[emoji23] [emoji23]Kumbe unanijua nilikuwa sijui🤣🤣🤣
[emoji23] [emoji23]Kumbe unanijua nilikuwa sijui🤣🤣🤣
Yaan hii n kama kujitia kitanzlong_distance relationship yaitaji moyo.. dahh
dahh😂😂😂😂1. Kuzama chumvini[emoji31][emoji31]
2 kumrudia x ( labda kupasha kiporo tu)
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Hee hee I hope Mungu
Anaskia maombi yako
Ole wetu tunaotaka kuleta posa
stidy
kwakwel mkuu na wahindi[emoji3][emoji3][emoji3]tuwaachie wakorea tu[emoji23][emoji23]
Chaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa hazipokelewi
Asante comment yako imenitia nguvu....Usilazimishe Mambo acha yaje Automatically
Usitegemee mtu
Kwann mkuu?Asante comment yako imenitia nguvu....
am better here
Hili Jimbo linaonekana Bado lipo waz1.kuamini mtu kirahisi
2.mazoea na mume wa mtu
3.kum-judge mtu bila uhakika.
mkuu hakika ukiviacha hvyo kama ulivyosema utafika mbali sana. MUNGU akujalie iwe hivyo1. Mimi kula vizuri(party after party😁) kuliko wanangu
2. Kuupa mchepuko hela nyingi kuliko hela ulioacha kwa familia
3. Kumlilia mwanamke akikwambia muachane au kukukimbia
4.Kuacha pombe kabisa,pombe ni muhimu kwa maishani mara moja moja maana kuna siku unajisikia vibaya hauhisi kama uko duniani
5. Kubishana au kutosikiliza ushauri wa wazee au watu walioona mengi
hapana mkuu. Mim naona endapo ningepost huu uzi kwenye jukwaa la siasa wengi wangetoa hlo jibu unalotaka. Ila kwa vile huu uzi upo jukwaa la mahusiano nd maana wengi wameegemea kwenye mapenzi. Hii watu wamejibu kulingana na eneo. Hivi kauli yako ya kusema ni wajinga naiipinga mkuuWatanzania ni majinga! Hakuna hata mmoja amezungumzia juu ya kutokuja kumrudisha jiwe madarakani!