Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

Kumthamini Mtu kuliko Mimi Mwenyewe

Kumfurahisha mtu ili hali naumia

Kuogopa kumwambia Mwanamke Sina au Sitaki.
ataeza kukuvumilia kwel ukimwambia huna?
 
1)Kumpa mimba mchepuko
2)Kupiga puli nikiwa mbali na wife mchepuko (i hate mchepuko)
3)Kuwa na gubu kwa mke wangu pale akichelewa kupika au akitia chumvi nying kwny mboga
4)Kunywa konyagi
5)Kwenda kwa mchepuko kwake na binti yangu wa mwisho aisee sitorudia tena mana mtoto hana siri yule bora kaka zake nilimpeleka akamsalimie ndugu yake....

121.
namba 5.😂😂😂😂😂 dahh mkuu unamfunza nin huyo dogo?
 
Tema mate chini mkuu...hili life sio poa aisee...uwezi jua kesho yako...kuna kipindi life linakufanya uvunje principle zako zote za life ulizojiwekea aisee...life sometimes sio fair kabisa.
 
Pole sana, umeshapigwa chini ujue! Kawaida sana, utapona! Ila I beg to differ kwenye namba mbili, mimi nasema hivi, don't take life too serious, you will never get out of it alive!!
nishapoa mkuu. Yes ilishatokea but nw kila kitu poaa.. napo kama ulivyosema naona ni sahihi pia mkuu
 
Back
Top Bottom