haha mkuu hiyo no.4 never say never1. Kung`ang'ania mwanamke anipende
2. Kusema neno 'sorry' kwa mtu alienikosea
3. Kutaka kumfurahisha kila mtu
4. Kutuma na ya kutolea
5.kununua malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi na mtoto wa mtu wa kiumeni au wa kike?Kumpigia magoti huku namlilia mtoto wa mtu nefaaa efaaaa Mungu nisaidie
Serious!?Kumpenda na kumuamini mtu asilimia 100% hata 70% tu. HAITAKAA ITOKEEEEEE KAMWWEE[emoji26]
kupigia kura wagombea wa chama fulaniHabari wanaJF
Nisizunguke sana, title inajieleza kabisa
Ukianza na mimi ni kama ifuatavyo;
1. Sitokuja kumwamini mtu tena
2. Take life too serious
3. Kujifananisha na wengine
4. Never judge a book by it's cover
5. Kufanya mapenzi kabla sijaoa😂😂
6.... hebu ongezea na zako hapo👇👇👇👇
Pole sana, umeshapigwa chini ujue! Kawaida sana, utapona! Ila I beg to differ kwenye namba mbili, mimi nasema hivi, don't take life too serious, you will never get out of it alive!!Habari wanaJF
Nisizunguke sana, title inajieleza kabisa
Ukianza na mimi ni kama ifuatavyo;
1. Sitokuja kumwamini mtu tena
2. Take life too serious
3. Kujifananisha na wengine
4. Never judge a book by it's cover
5. Kufanya mapenzi kabla sijaoa😂😂
6.... hebu ongezea na zako hapo👇👇👇👇
Hahahahhahaahha sijawahi kulifanya hili kosa na sitakaa nilifanyeKumpigia Kura YONA