Ili kitu kiwe kweli, na si uongo, inabidi kikidhi vigezo gani?"Tunaambiwa Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote."
Unless na wewe ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ndiyo unaweza ukawa kwenye nafasi ya kuhoji juu ya qualities hizo za Mungu, vinginevyo much far huwezi. Na kama basi hauko hivyo, hakuna namna ambayo unaweza ukajua ni wapi unakosea na wapi uko sahihi katika kutoa hoja zako juu yake. Zaidi ni kuwa Mungu ni Roho, hana mwili na haonekani kwa macho, na hivyo sikuwa namaanisha kuwa ulitaka athibitishwe kwako physically. Pamoja na hayo, kuna emperical evidence nyingi tu zinazoweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo lakini zinakuwa ni za kiroho zaidi na ni unique experiences ambazo ukimdai mmoja azithibitishe kwako, inakuwa ni kazi ngumu kidogo unless na wewe uwe kwenye line sawa na yeye katika ulimwengu wa roho. Kwa hiyo mambo ya kiroho si ya kuibuka tu halafu unamwambia mtu akuthibitishie wakati hata hauko aligned naye kiroho au hauko kwenye imani moja naye. Kama wewe ni atheist au non believer, hakuna namna NZURI zaidi ambayo mtu ambaye anamwamini Mungu anaweza akamthibitisha Mungu kwako. Wanaomwamini Mungu wanatumia standards zao ambazo zinatokana na Maandiko Matakatifu, wewe usiyemwamini, hutumii hayo na wala haukubaliani nayo. Hii tayari ni discrepancy kubwa kabisa ambayo haiwezi kuwafanya arguments zenu zikaja kukubaliana mbele ya safari hata siku moja.
Mfano wa emperical evidence ambayo ni ya kiroho ni ndoto. Kuna watu wengi tu huwa wanaongea na Mungu kupitia kwenye ndoto au hata maono mengine yanayofanana na hayo. Sasa mtu kama huyu akikupa shuhuda zake juu ya uwepo wa Mungu, kwa mtu kama wewe ukimwambia kuwa anakudanganya utakuwa uko sahihi 100%, ila hata ukimkubalia pia utakuwa uko sahihi 100%.
Still, uelewa wangu wa siku nyingi tangu huko nyuma, nilikuwa najua kuwa wewe huamini kama Mungu yupo kwa sababu wanaomini kuwa yupo, hawajaweza kukuthibitishia hilo!
Mwisho, je kutokana na maelezo yako hapo juu, unataka sasa wanaomwamini Mungu wamthibitishije kwako? Watumie standards zipi, za kwao za kwako? Kumbuka kuwa hapa lazima standard mojawapo tu ndiyo inatakiwa itumike, ya kwako au ya kwao ila si zote mbili. Nauliza maswali haya kwa sababu leo nimegundua kuwa wanaomwamini Mungu wanao uwezo huo wa kukuthibitishia kuwa Mungu yupo isipokuwa tu walikuwa hawajawahi kulielewa swali lako la siku nyingi!
NB: Kumbuka pia kuwa hoja yangu kubwa hapa ni kwamba, arguments za uwepo wa Mungu kuwa illogical kwako, bado hakumfanyi Mungu asiwepo
Ni lazima kilicho complex kiwe na muumba? Au si lazima?mkuu point kubwa kwanza ni kujua na kukubali kwamba kila kitu kimeumbwa na kiumbe chenye nguvu nyingi na akili nyingi sana kuzipitia hizi akili zetu duni za kibinadamu,
kuna kiumbe ambacho kina uwezo mkubwa sana kuweza kututokeza sisi wenye akili za kutengeza complicated machines like hizo ndege,submarines,na vingine vingi
Mungu katoka wapi hilo ni swala jengine mkuu
Hivi ni vitu viwili msingi kwa mtu katika kujua ukweli, navyo ni Elimu na Maarifa.Ujinga na umasikini tu. Mtu hajapata kipande cha muhogo kutia tumboni unafikiri anaweza kuwa na muda wa kuchambua "the problem of evil"? Anataka kuambiwa piga magoti uombe mungu atakujaalia. Ndiyo maana Northern Europe watu walikoelimika Zaidi na kuweza kutatua matatizo ya msingi makanisa yako empty na huku kwetu Africa ambako bado tuna ujinga na umasikini watu wanajazana.
Taarifa kwamba haya ni mabaya, yaani kujua kwamba haya ni mabaya inasikika kutoka kwa nani?mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambaobmabaya yanawezek
Juu ya mambo au vitu unadai havikuumbwa na Mungu kadiri ulivyofafanua na kuweka marejeo ni mawazo, mtazamo na imani inayoweza kuelezwa kama kusoma, kuelewa na kufafanua mambo au vitu nusu nusu au kitoelewa kabisa au kupotoka.VITU VIKUU SITA AMBAVYO MUNGU HAKUVIUMBA.
1. MUNGU
Ukisoma misahafu yote mikuu miwili quran na biblia hakuna ushahidi hata mmoja unaonesha kuwa Mungu kaumba Mungu(namaanisha Mungu kujiumba).
Kubwa zaidi katika misahafu hiyo ambayo imeandikwa kwa matakwa yake MUNGU, inaonesha ukuu wa Mungu, uwezo wake, mamlaka yake, utukufu wake, usafi wake na kila aina ya sifa nzuri na tukufu, lakini hatuoni chanzo chake kikiandikwa humo na hatuoni mwisho wake ukiandikwa humo, zaidi ya vitabu hivyo kusema ufalme wa MUNGU na Nguvu zake hazina mwanzo wala mwisho.
"Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi" Ufunuo 1:8
"Na Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza. Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye. Sifa zote njema ni zake Yeye, mwanzo na mwisho...." Quran 28:69-70
Kwa aya hizi, na mafundisho mengine ya kinabii kama haya, yanathibitisha bila shaka kuwa ni kweli kuna mambo au vitu ambavyo Mungu hakuviumba na kwasababu hiyo vitu hivyo haviwezi kuitwa viumbe na ingawa viko. Kitu cha kwanza MUNGU, kipo na hakija umbwa.
Wanaosema kuwa MUNGU ameumba kila kitu waje hapa watuambie "MUNGU" kaumbwa na nani? Wakishindwa kututajia basi waishie kusema Mungu kaumba viumbe vyote lakini si vitu vyote.
2. KIZA
Ukisoma hiyo quran 28:69-70 na ukisoma vizuri ufunuo 1:8 utagundua mambo yote na habari zote kabla ya uwepo wa MUNGU hayajulikani na huenda anayajua Mungu mwenyewe, lakini kwetu sisi tunaona mambo hayo kwetu ni KIZA.
Kwa hivyo tunaweza kusema kabla ya Mungu hajaumba chochote alikuwako yeye na Kiza, Kiza ni mwanamke na Mungu ni mwanaume. Kwakuwa kwa kipindi hicho walikuwa wenyewe, na wanajuana wenyewe, jambo jepesi twaweza kusema hivi vitu ni ndugu. Ipo siku inshallah nitakuja kufafanua kwanini nasema Kiza mwanamke na Mungu mwanaume.
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. 3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru. 4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza."
Mwanzo 1:1-4
Katika andika hilo la juu tunajifunza yafuatayo.
Must complexity come from even greater complexity?
Then God is neither necessary, nor essential.Simple answer: it may come from NOWHERE
Kama ni msomaji makini na unaelewa maandiko matakatifu utaona kwamba ulimwengu kabla ya dhambi haukuwa na mabaya: hayo yote uliyoyabainisha hapo juu hayakuwepo kabla ya mtu kutenda dhambi.Tunaambiwa Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Sasa imekuwaje Mungu huyo aumbe ulimwengu ambao mabaya, njaa, maafa, ujambazi, majanga ya kiasili etc yanaweza kutokea, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hayo hayawezi kutokea?
Umeelewa swali langu?Kama ni msomaji makini na unaelewa maandiko matakatifu utaona kwamba ulimwengu kabla ya dhambi haukuwa na mabaya: hayo yote uliyoyabainisha hapo juu hayakuwepo kabla ya mtu kutenda dhambi.
Sauti au uelewa kama huu unaoubainisha hapa (mabaya, uovu) mtu ndio anagundua baada ya kutenda dhambi.
Hivyo, Mungu hakuumba dunia yenye mabaya au uovu.
Dunia hii yenye mabaya ni matokeo ya dhambi, ambayo mtu mwenyewe alitenda kwa sababu ya kuelewa na kutumia vibaya uwezo aliopewa na Mungu akitaraji kuwa atakuwa zaidi ya alivyokuwa.
Matokeo ya alichoelewa kama ni "kuwa zaidi" kikawa dhambi. Ndiyo kwa sababu ya dhambi duniani kuna uovu, ubaya na kifo.
Mpaka leo, kwa sababu ya dhambi, mtu ameendelea kupenda mambo fulani fulani akitaraji kwa hayo atafanikiwa na kuwa bora zaidi kuliko wengine katika maisha.
Kama walivyotenda watangulizi wake, mtu huyu huyu amependa mambo fulani, kwayo akaona na kuelewa kuwa atakuwa zaidi pasipo mapendo kwa Mungu.
Mtu akaweka akili na moyo wake katika kupenda mambo hayo fulani fulani, akaacha kumsikiliza Mungu. Akilini mwake akaona ni vema, amefanikiwa na ni bora kuliko wengine.
Ukweli ni kwamba watu wanaopenda mambo fulani fulani, kwayo wakaweka akili, moyo na nguvu zao, wakaacha mapendo ya Mungu: kile Kanisa linafundisha, watu hao na watu wengine wote katika maisha yao kabla au wakati wa kufa hujua ukweli, Mungu. Huona yote waliofanya kama ni mafanikio: uelewa mzuri au mbaya.
Nimeelewa vizuri sana swali lako.Umeelewa swali langu?
Ili kitu kiwe kweli, na si uongo, inabidi kikidhi vigezo gani?
Ili kitu kiwe kweli, na si uongo, inabidi kikidhi vigezo gani?
Kwanza kabisa sahihisha spelling. Si "emperical" ni "empirical".Ili kitu kiwe kweli SIYO LAZIMA kiwe kina-base kwenye empericism, (i.e not necessarily provable by emperical evidence, hata empericism yenyewe haijadai hivyo kwamba everything OUTSIDE ITS DISCIPLINE, should be supported by emperical evidence), except that kinaweza kuwa na ANGALAU mojawapo ya attributes zifuatazo. Aidha kinaweza kuwa:
(i) Illogical
(ii) Logical
(iii) both logical and illogical (e.g. the issue of twin paradox or delusion, where sometimes it happens in reality that the more you chase a thing, the more it deludes from you)
Most important, not also that NOT ALL ILLOGICAL ASSERTIONS are false, and that NOT ALL LOGICAL ASSERTIONS are true!
Ongezea na hiyo pdf attachment nina imani unaweza ukapata kitu kipya kutoka humo.
Kwanza kabisa sahihisha spelling. Si "emperical" ni "empirical". Pili, unajua maana ya empirical evidence ni nini? Tatu, unajua reason ni nini? Nne, unajua tofauti ya empirical evidence na reason? Tano, unaelewa kwamba mimi sijakataa uwepo wa Mungu kwa kutumia empirical evidence, bali kwa reason, na hivyo, criticism yako ya kuhusu empirical evidence hainihusu mimi? Nakuachia hayo maseali matano kwa sasa, yajibu yote kikamilifu. Zaidi ya yote. Unaelewa kwamba hujajibu swali langu la msingi?
Kwanza kabisa sahihisha spelling. Si "emperical" ni "empirical". Pili, unajua maana ya empirical evidence ni nini? Tatu, unajua reason ni nini? Nne, unajua tofauti ya empirical evidence na reason? Tano, unaelewa kwamba mimi sijakataa uwepo wa Mungu kwa kutumia empirical evidence, bali kwa reason, na hivyo, criticism yako ya kuhusu empirical evidence hainihusu mimi? Nakuachia hayo maseali matano kwa sasa, yajibu yote kikamilifu. Zaidi ya yote. Unaelewa kwamba hujajibu swali langu la msingi?
Ushaanza kitabiri nitakachojibu kabla sijajibu.Maswali manne uliyouliza, jibu ni kwamba NAJUA. Swali lako la msingi nimeshalijibu, by deductive reasoning. Wewe ulichohitaji ni jibu, siyo njia ya namna ya kujibu swali lako. By the way, umesoma hiyo attachment niliyoweka hapo kwenye post yangu iliyopita, kabla ya hii?
Tathmini yangu ni kwamba post yako inayokuja kama itakuwepo, inaweza kuwa nje kabisa ya mada, unaanza kuondoka kwenye mada, ku-divert kwenye kwenye outliers ambazo si za msingi sana kama kurekebisha spelling wakati hapa hatufanyi mtihani.However, english is my third language
Athibitishe kitu ambacho hakipo?Mungu hayupo, ni hadithi ya kufikirika tu.
Kama unadai yupo, thibitisha.
Mimi nasema Mungu hayupo.Athibitishe kitu ambacho hakipo?
mkuu Kiranga ni lazima kila kitu unachokiona wewe hapa duniani kiwe na muumba,na nadhani hata wewe kuna mahali ulikubaliana na mimi kwamba hata kama kila kitu kina muumba wake not necessarily awe Mungu,nikakwambia lets say nimekubaliana na wewe sasa kwamba okay kila kitu kina muumba wake yes ila sio Mungu,then ni nani muumba wa kila kitu?Ni lazima kilicho complex kiwe na muumba? Au si lazima?