Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Uandishi wako tu unamaanisha nilichokisema ...mkuu unabisha nini? Wakati juzi nilienda kwa fundi sim mmoja wakati naongea kuna kadada kamoja kakaanza kumwambia mwenzake kwa sauti ya chini "huyu anaongea kiswahili vizuri." Na mwengine pia nimefatana na mwenzangu ikawa tunaongea kuna sister mmoja nikaona kama kamedakia maongezi kiunaga ubaga halafu kakazuga, ila mimi nilimwelewa nikamwambia mwenzangu chukua dogo alishajileta mwenyewe, hapo ni baada ya kusikia tunaongea kiswahili.
Na kweli jamaa aliongea nae na dogo kama ganda la ndizi.
Kumbe wakati tunaongea alikuwa anafurahishwa na kiswahili sanifu.
Na wengine pia nilikua napenda kwenda madukani kuwachokonoa wakisikia kiswahili hata kama kuna wengine wana shughuli zao wanasikiliza kiswahili mpaka natamani niwagonge wote.
Na hapa ninapokwambia nilishwala watatu dada zako kisa kiswahili.
Na pia ukiwa haumini kama upo maeneo ya Goma njoo ushuhudie dada yako mwengine nnavoenda kummega kesho.
Au kama unataka ushahidi wa picha sema kesho nikutumie nikiwa nae. Usikatae kwa ushabiki kataa kwa hoja.
Kwahyo huko mkuu unahonga Kiswahili tu pochi hugusi ***** unafaudu kinyama hadi nakuonea wivu
 
Nasikia milio y bunduki kwao ni kawaida tu hata akipigwa risasi mtu akadondok akafa wao hawana habari wanaendelea na mishe zao
 
Hotel hapa Lubumbashi ni bei hasa,kama utataka kukaa high class ipo Pulmann hotel,Hotel Lubumbashi,kuna Big 5 Hotel,kuna Kango Hotel hizo bei zake ni kuanzia usd.90 mpaka 350 per night

Nenda Golf kule, Biayi na Revolution Avenue, kuna hotel nzuri na cheap kiasi La' Rose
 
Jamanii funzaa
Watamu sana hawa wadudu
IMG_20180407_161004.jpg
IMG_20180407_161034.jpg
 
Malawi mbali, niliwai kuona panya wanauzwa area d, Dodoma. Maeneo ya sengia, ni site 2. Hapo wanafikia waheshimiwa wengi tu! Ilikuwa 2010.
Na mpaka sasa maeneo ya kisasa nyumba 300. Utawaona vijana wengi tu wakitafuta panya porini! Ama wanaendaga kula au kuuza!
Dodoma wanakula panya wanaita Mafudu
 
Kwahyo huko mkuu unahonga Kiswahili tu pochi hugusi ***** unafaudu kinyama hadi nakuonea wivu
Pochi lazima uguse kidogo maana mtakula wapi?
Na pia lazima umtoe japo dola 5 ya kwenda kununulia sabauni sasa unataka umuache na makombo yake?
Pia kuhonga unaweza kuhonga sana maana ni kawaida kwa kila nchi.
Ila ukiwa mjanja unaweza kulipia guest tu.
Cha kufanya usikurupuke papo kwa papo akakupe mzigo hapo lazima ikitoke maana anajua umejipanga.
Ila jaribu kwa siku ya kwanza kuunga urafiki na kuchukua namba za sim, siku ya pili au ya tatu unaweza kula kiulaini kabisa.
Kuna mmoja aliniomba urafiki fb baada ya kujua nipo Goma ndo hivyo tena nimemwambia sina pesa ila anataka hivyo hivyo tuonane.
Jana nilionana nae ila hatkufanya chochote maana nilikua busy kutengeneza sim yangu.
Niliishia kuzunguka nae tu mjini.
IMG_20180418_081753_036.jpg
 
Hatandele tokozonga mboka(Hata kesho tutarudi nyumbani) tafsiri hii..Congo..mboka babo tabiso. Ahahaha!

Wacongo baadhi ni watu wazuri sana sometimes nilishawai kukutana nao pale Lusaka inter city bus terminal wanaenda Johannesburg. Basi kuna Mganda mmoja alikuwa kaanza kuwa mshkaji but nilikuwa namvumilia tu maana alikuwa anaboa kwa masifa alipowaona wacongo akadai hawa hapa ndugu zako wacongo nao wanaongea kiswahili kama wewe, mwanzoni alishaniboa na mbwembwe zake za kihaya kwamba ana kampuni kubwa tu South Africa aliponibagua na kwa hili nikamvua vyeo vyote.. Nikabaki namchora tu namuona Bichkoma na mayeboyebo yake makubwa.

Tangu siku hiyo nikaamini waganda wana tabia mbaya sana East africa maana nilitegemea Mganda ndio angekuwa ndugu yangu but kanikana kanipeleka kwa wacongo surprisingly wacongo walipoona kiswahili changu wali Nazi wakaniaccept more easily tukachoma na nyama Kwenye restaurant moja hivi then jioni tukaenda clubbing next day tukasepa zetu jozi yule Mganda nilimkaushia hadi mwisho akaniaga nikamuignore tu. Since then hata Mimi nikiwaonaga wacongo nawaona kama ndugu vile but nikiwaona waganda nawaona kama Nyani tu.

But waganda wana uhaya sana...yaani wana Urangila mno.
Waganda wanajisikia sana wanajiona wapo juu wakati hakuna kitu upuuzi tu
 
Pochi lazima uguse kidogo maana mtakula wapi?
Na pia lazima umtoe japo dola 5 ya kwenda kununulia sabauni sasa unataka umuache na makombo yake?
Pia kuhonga unaweza kuhonga sana maana ni kawaida kwa kila nchi.
Ila ukiwa mjanja unaweza kulipia guest tu.
Cha kufanya usikurupuke papo kwa papo akakupe mzigo hapo lazima ikitoke maana anajua umejipanga.
Ila jaribu kwa siku ya kwanza kuunga urafiki na kuchukua namba za sim, siku ya pili au ya tatu unaweza kula kiulaini kabisa.
Kuna mmoja aliniomba urafiki fb baada ya kujua nipo Goma ndo hivyo tena nimemwambia sina pesa ila anataka hivyo hivyo tuonane.
Jana nilionana nae ila hatkufanya chochote maana nilikua busy kutengeneza sim yangu.
Niliishia kuzunguka nae tu mjini.View attachment 748585
Nimekusoma mkuu, point ni usijifanye unazo sana eeh
 
Uandishi wako tu unamaanisha nilichokisema ...mkuu unabisha nini? Wakati juzi nilienda kwa fundi sim mmoja wakati naongea kuna kadada kamoja kakaanza kumwambia mwenzake kwa sauti ya chini "huyu anaongea kiswahili vizuri." Na mwengine pia nimefatana na mwenzangu ikawa tunaongea kuna sister mmoja nikaona kama kamedakia maongezi kiunaga ubaga halafu kakazuga, ila mimi nilimwelewa nikamwambia mwenzangu chukua dogo alishajileta mwenyewe, hapo ni baada ya kusikia tunaongea kiswahili.
Na kweli jamaa aliongea nae na dogo kama ganda la ndizi.
Kumbe wakati tunaongea alikuwa anafurahishwa na kiswahili sanifu.
Na wengine pia nilikua napenda kwenda madukani kuwachokonoa wakisikia kiswahili hata kama kuna wengine wana shughuli zao wanasikiliza kiswahili mpaka natamani niwagonge wote.
Na hapa ninapokwambia nilishwala watatu dada zako kisa kiswahili.
Na pia ukiwa haumini kama upo maeneo ya Goma njoo ushuhudie dada yako mwengine nnavoenda kummega kesho.
Au kama unataka ushahidi wa picha sema kesho nikutumie nikiwa nae. Usikatae kwa ushabiki kataa kwa hoja.
mkuu mi naomba picha PM
 
Back
Top Bottom