Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Habari za majukumu wakuu.

Tangu nisafiri kuja Congo kuna mambo fulani ambayo nimejaribu kuona kwa macho yangu mengine kwa hisia tu.
Pia kuna baadhi ya mambo ambayo nimeyafanyia utafiti mdogo na baada ya hapo nikajiridhisha kwa vitendo.
Ngoja niweke ambayo nilijionea mwenyewe:-

1. Ukiwa Mtanzania utalala na wengi:
Hapa nazungumzia kwa wale wenzangu nami wanaependa kuserereka na totoz, yaani ni kwamba wanapoona unazungumza kiswahili fasaha hujipendekeza na kuwa na wewe karibu.
Hauna haja ya kuanza kutingoza mda mrefu ni kuomba namba ya sim na mengine yatajileta yenyewe.

2. Kuna wadada wazuri mno ila wengi ni makahaba:
Hapa sijajua sababu kuu ni ipi ambayo inapelekea wadada wazuri wanapenda kazi hiyo.
Unapishana na wadada kama watatu wanne utakaemkuta usiumize kichwa chukua twende.

3. Boda boda nyingi:
Yaani kuna boda boda nyingi kuliko nchi zingine zote za afrika.
Hapa naweza kusema kumechangiwa na wingi wa watu wenyewe na nchi yenyewe ilivyo kubwa.

4. Chakula safi ni shida:
Kwa Mtanzania ambae umezoea vitu vizuri vizuri kwe 'restaurants' za Tz basi kwa huko utazunguka sana mwisho was siku utaambulia ugali (bada).
Chapati zao sio nzuri hawajui kupika supu hata samaki was kwao.
Siku Mtz akijitokeza kupika pilau au biriani basi ataondoka na utajiri usio na kifani.

5. Wanapenda kujichubua sana:
Kwao ni vitu vya kawaida na imeonekana 'fashion' kufanya hivyo mafuta yanayokatazwa Tz, Congo yapo sokoni.

6. Wanathamini dola kuliko hela ya kwao:
Yaani kila duka utakalotembelea ni dola dola hadi unachoka mwenyewe.
Sio kwamba hela ya kwao hawatumii, la hasha! Wanatumia sana ila dola ndo kila kitu mijini na vijijini.

7. Kiswahili wanakipenda sana:
Mara nyingi wanapenda kuongea kiswahili kuliko kilingala na kizulu. Hata kama utawakuta wapo wenyewe wanaongea lakini lazima waingize kiswahili.
Kiswahili walikipenda sana ila kifaransa kiliwapenda zaidi.

8. Pombe ni nyingi sana kuliko maji safi ya kunywa.
Hapa kila kona utakayozunguka utakuna na pombe aina ya bia zimesheheni, lakini ukija kwa upande wa maji ya kunywa sio mengi.

Kwa leo niishie hapo maana kuna mengine nimeyasahau ila kama kuna mtu ambae anafaham zaidi anaweza kujazia nyama.
ongea kwa kujfuraisha,umefka goma haimaansh umefanya utaft congo nzma

n kama mm niende kufanya utaft wa watu wa tanzania bukoka..
watu wa huko m tofaut kabsa na mtu anaish mwanza au sehemu nyngn,na sehem znatofautiana kulngana na jamii ya wat fulan

kumbuka congo c goma pekee
tanzania c bukoba pekee
wakongomani huwa tunajpnda wnyw na c kumshobokea mtu mwngn au lugha ya wngn

kfaransa chnyw huwa tunakchulia poa
sembuse kswahil.
watanzania ndo huwa wanashobokea kuongea lingala mpk kweny tungo za mzk wasanii wng wanaimba lngala
 
Uandishi wako tu unamaanisha nilichokisema ...mkuu unabisha nini? Wakati juzi nilienda kwa fundi sim mmoja wakati naongea kuna kadada kamoja kakaanza kumwambia mwenzake kwa sauti ya chini "huyu anaongea kiswahili vizuri." Na mwengine pia nimefatana na mwenzangu ikawa tunaongea kuna sister mmoja nikaona kama kamedakia maongezi kiunaga ubaga halafu kakazuga, ila mimi nilimwelewa nikamwambia mwenzangu chukua dogo alishajileta mwenyewe, hapo ni baada ya kusikia tunaongea kiswahili.
Na kweli jamaa aliongea nae na dogo kama ganda la ndizi.
Kumbe wakati tunaongea alikuwa anafurahishwa na kiswahili sanifu.
Na wengine pia nilikua napenda kwenda madukani kuwachokonoa wakisikia kiswahili hata kama kuna wengine wana shughuli zao wanasikiliza kiswahili mpaka natamani niwagonge wote.
Na hapa ninapokwambia nilishwala watatu dada zako kisa kiswahili.
Na pia ukiwa haumini kama upo maeneo ya Goma njoo ushuhudie dada yako mwengine nnavoenda kummega kesho.
Au kama unataka ushahidi wa picha sema kesho nikutumie nikiwa nae. Usikatae kwa ushabiki kataa kwa hoja.
 
Au unataka na picha?
IMG_20180418_002659_166.jpg
IMG_20180418_002427_418.jpg
 
Kwa kukadiria km ngapi? OK hotel, guest au lodge zinasimamaje

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Sikushauri kwenye guest maana hazina ubora, guest zipo za dola 7 hadi 15 inategemea na mazingira na guest lenyewe linaweza kuzidi pia.
Kwa upande wa hoteli itakugharimu sana ujipange kiaina, hapo siwezi semea sana maana bei zinatofautiana.
 
Sasa MTU akija huko anafikia wapi?
 
OK nisaidie hotel inaweza kuwa dola ngapi kwa siku moja,na nyingi ziko maeneo gani?mfn huku kwetu tz kariakoo na sinza
 
suala la usalama huko likoje...maana nahisi huko kila raia anamiliki SMG?
 
Nili soma na binti wa kikongo, kujichubua na kujiremba wanapenda sana, wao wako radhi wasile vizuri mwezi mzima lakini amebeba designer handbag inayo match na wallet na viatu vya designer huyo huyo.
Alinikaribisha chakula nilishindwa kula. Ladha mmh.
Usafi wa ndani na kupangilia nyumba ni first class
Wanapenda kufanya vitu ili watu wawaone.
Yaan wana uhaya uhaya eeehh???
 
Wala hujaongopa Dada hapa Jirani Naish na mkongo ni msafi Wa ndani mpk rahaaaa, anapenda kuvaa na kujiremba Sana
 
Back
Top Bottom