Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Sasa hapo itategemea unakuja kwa misheni gani Mkuu maana maeneo hutofautiana na mishemishe zake
ila sina sikia ishu yamadini kwa huuko iko chini au ni story tu. na ishu kubwa ambayo ukiifanya kujahuku au kwenda uko itabadilisha maisha ni ipi
 
Nikimaliza chuo naenda kusaka life chuo..

Congo see u soon!!!!!
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Siku Mtz akijitokeza kupika pilau au biriani basi ataondoka na utajiri usio na kifani.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Fursa hiyo apo, sema mazingira ya uwekezaji hayaridhishi,
Vipi hukuona vita Mzee ?
 
Hata Bongo wapo wanakula hao.
Ni kweli kabisa. Nakumbuka kipindi fulani hapa Dar kulikuwa na mwembe jirani yangu, sasa kulikuwa na majira hao viwavi walikuwa wengi kwenye mwembe. Kuna watu wengi walikuwa wanakuja kuwachukuwa kwa ajili ya mboga, wenyewe wakiita chavi chavi..
 
5. Wanapenda kujichubua sana:
Kwao ni vitu vya kawaida na imeonekana 'fashion' kufanya hivyo mafuta yanayokatazwa Tz, Congo yapo sokoni.
Wakongo wanajipenda...hata kuvaa yenu si ndo huko huko; na kujisifia kwa kuimba majina ya watu kwenye muziki...mapedeshee, mapapaa!
 
Mtu ambae ni mgeni akihitaji kufungua biz ya restaurant huko taratibu zikoje?

Sijaona nchi yenye kodi za ajabuajabu na wasumbufu kama Congo, hapo watakuja watu wa Sante (Afya), DGM -uhamiaji, watu wa kodi nk, wacongo wanawezana wenyewe kwa wenyewe
 
Sijaona nchi yenye kodi za ajabuajabu na wasumbufu kama Congo, hapo watakuja watu wa Sante (Afya), DGM -uhamiaji, watu wa kodi nk, wacongo wanawezana wenyewe kwa wenyewe
hapo sasa ndo sipawezi kuhusu swala la kodi za usumbufu
 
Nyama ya kima au nyani pia huliwa kwa wingi.

Ni nchi yenye saa mbili tofauti kati ya Magharibi na Mashariki. Zinatofautiana kwa saa 1.

Mto Kongo umepita katikati ya mji.

Mji wa Brazzavile Congo na Kinshasa DRC ipo jirani.

Wakongo wanawapenda sana wabongo

Watu wa kule wengi warefu. Ukimkuta binti, mmama, mbaba au mvulana mrefu ni mrefu kweli.

Kinshasa maisha ni nafuu kidogo kulinganisha na Lubumbashi.
Mkuu wabongo tuna hits sana huko
 
Back
Top Bottom