Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

soma vizuri nilivyoandika ndo ujibu sijazungumzia kusikia
Ikiwa hujasikia umeona basi tupe ushuhuda was hilo usiseme ulisulimuliwa sitakuamini, maana hakuna mwenye akili aliefi... Akakuhadithia wewe huku akitabasam.
 
Nilishawai kuishi bangwe beach way back in the days..nilikuwa nafanya kazi pale TPA.

Wacongo bhana hata pale kigoma wao sio wezi wala Wateka magari wao ni bata na kung'arisha pamba tu but warundi wao ndio majambazi na hawajipendi hata robo.
Wakiwa kwao wanaroho mbaya sana siyo km wanavyojionesha wakiwa ugenini,
 
Mkuu Shida na raha nakushukuru maana nilighafirika pale Sky Eclat alivyokuwa anawashobokea wacongo, kwa vile mabinti zao wanatushobokea, basi Ngoma droo! Ila nshaidie kwa kula angalau mmoja tulipize kwa mcongo kumlamba dada yetu
Mbona mkuu nilishawa watatu na mmoja mda mfupi uliopita amenishobokea kesho anataka nikamle.
 
Ukiwa na pesa yako unaingia tu wanapenda rushwa hao.
Hapo unataka kumuuza, ni sawa ataingia Kongo kwa rushwa siku ya kutoka na kupitia nchi nyingine akidaiwa passport ataeleza nini?
 
Ukitoa Kenya kwa Afrika Mashariki basi hakuna nchi kama Congo inayo wapenda wabongo. Na Kenya ni vile tu kuna ukabila ndio maana inakuwa hivyo ila wako poa sana. Ila Congo ni balaa wanawapenda wabongo we acha tu.
Nawagonga balaa mpaka naona ntakufa mapema.
 
Back
Top Bottom