Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Kinshasa (mji mkuu wa DRC) na Brazzaville (mji mkuu wa republic of Congo) ndiyo miji mikuu ya nchi mbili iliyo karibu zaidi. Inatazamana. Ni umbali wa km 36 tu, 1hr drive au dakika 5 kwa ndege.


Ardhi ya Congo yote yani yote kwa ujumla wake ni mali, karibu kila kitu kinapatikana Congo na hii ndo sababu hawana amani. Kwa utajiri wa rasilimali naamini ni nchi ya kwanza duniani
Pamoja na kuwa na vita lakini kule umeme haukatiki 24hrs upo..
 
Safi mpwa usikose Kamalondo na Kenya kwenye Makaku ya Kuchoma na umbwa, haaaaa. DRC hatari sana
Ila ukiwa na pesa DRC napo pana utamu wake, wenye nazo wanakula sana maisha miji ambayo mie nipo Lubumbashi, Likasi na Kolwezi
Kuna kipindi nasahau kama nipo DRC
Leo nipo Likasi
 
Kabisa haukona Sokwe hata mmoja?
Pia Ebola ipo sana Congo

tapatalk_1521266737314.jpg
 
Bandeko balengisye bazali kolanda na biso na malamu toling'ana,toyokana,totong'ana,tobosana na ndako ndeng'e ezali biloko yango ba papa na mama.
 
Ila ukiwa na pesa DRC napo pana utamu wake, wenye nazo wanakula sana maisha miji ambayo mie nipo Lubumbashi, Likasi na Kolwezi
Kuna kipindi nasahau kama nipo DRC
Leo nipo Likasi

Kwa kweli, kama una pesa Congo ni nzuri sana, wanajua ambiance hasa, Katanga iko vizuri, hasa huko Likasi na Kolwezi copper belt

Bacongo banakupa heshima, sema swahili ya Katanga ni ngumu sana kuliko ya Kivu, chofya mbele
 
mkongo anapenda show off ukienda kwake ndani kama chumba cha billnass na nandy [emoji3][emoji3]
 
Kwa kweli, kama una pesa Congo ni nzuri sana, wanajua ambiance hasa, Katanga iko vizuri, hasa huko Likasi na Kolwezi copper belt

Bacongo banakupa heshima, sema swahili ya Katanga ni ngumu sana kuliko ya Kivu, chofya mbele
Yaani kiswahili chao unaweza ukatoka kapa, mie nikiongea wananiambia naongea swahili ya mnene[emoji1]
 
Back
Top Bottom