Vitu gani vinamfanya Mwanamme "anyemelee" nyumba yake mwenyewe?

Hii mada imenifanya nicheke sana. Nahisi kama vile Mwanakijiji huwaga anaanzisha mada kutokana na experiences zake mwenyewe teh teh teh.

Wee Mwanakijiji, bibi umemfanya nini tena?

Mkuu.. yaani nimeingia nyumba natupa kile kitu pembeni nimekasirika naanza kufoka tu jinsi kazini jamaa walivyonitibua; bibi yenu ikabidi aanze kuniuliza taratibu "whats wrong hunny".. ndio namsukumizia mbali kabisa kwamba "these people are impossible".. "kwani wamekufanya nini jamani!" anauliza kwa kubembeleza.

Kumbe zilikuwa gia nilijua kulikuwa na mjadala hatukuumaliza na akawa amekasirika. Lakini hiyo gia ya hasira nayo haiwezi kufanya next time..!!
 
Oooh basi next time tumia ya mgongo kuuma. Yaani hata kabla hujarudi nyumbani unamtumia text msg kabisa kabisa kumwambia kwamba 'honie, I think I pulled a muscle'. Naye akijibu kwa kukuuliza 'where did you pull a muscle?' Wewe unamjibu 'my lower back on the right hand side close to my waist'.

Halafu sasa itabidi u practise na jinsi ya kutembea ili ukifika nyumbani unabadili mwendo (uwe wa kuchechemea) na mwenyewe akikuona yale ya jana aliyoyaweka kiporo atayasahau na kwenda haraka haraka Walmart kukununulia Icy Hot. Jioni nzima utakuwa pampered kaa mtoto mdogo kumbe wapi....magirini tu.
 
Lingine ni kukosa msaada, kazini wafanyakazi wamekuboa nyumbani wife ana kapu la matatizo na mahitaji, ukifika mara leo mtoto kafanya hivi, house girl kafanya vile alafu mama fulani kaniuzi leo nk nk, ukifika lazima ukunje ndita au pitia corner bar!
 
Ukiwa handsome kama mimi (ref avatar yangu) lazima ujiamini tu hamna kunyata. Hata kama kuna issue, akikuona tu yameisha. Hahahahaa!!
 
Baada ya furaha za mwanzo za maisha ya pamoja kuna baadhi ya wanaume huanza kunyemelea nyumba zao wenyewe. Mtu toka anatoka kazini anapiga mahesabu ya jinsi gani ataingia nyumbani bila kusababisha mfarakano. Wengine huja na giza za 'uchovu' wengine huja na giza 'kukasirishwa' na mtu huko na wengine huja na hata gia za 'unyonge'. Lengo la gia hizo zote na nyingine nyingi ni kutuliza hasira za mwenza wake pale nyumbani. Lakini wakati mwingine, mwanamme anaingia nyumbani kwa kunyemelea kwa sababu ya hofu ya kile atakachokikuta nyumbani siku hiyo.

Ni vitu gani hasa vinaweza kumfanya mwanamme apaone nyumbani pake pa chungu na hivyo kutafuta kila sababu ya kuchelewa au hata kukwepa kulala nyumbani siku fulani fulani?

...lol...very interesting topic.

kuna ile ya uliisahau on mobile phone nyumbani, na unajua ni 'kimeo!'...
Kwa kiwango kikubwa hali hii inachangiwa iwapo kuna Evidence na Exhibit vimekamatwa na mama watoto,
kisha naye asivyo na simile, akakutwangia simu huko huko ulipo kukwambia "usichelewe kurudi kuna jambo muhimu nataka tuongee!" LOL...

Usiombeee!
 
Mhhhh,

Labda huyo mwanaume amejisahau akapuliziwa perfume kwenye chupi akidhani alikuwa na mama watoto...Sasa atapitaje sebureni hadi chumbani akaoge???

Hata hivyo angeweza kuwahi hospitali na kupewa first aid ili apishane na wife njiani wakati anaenda kumjulia hali!!
 
1. Mwanamke vuvuzela
2. Ukiingia home unafikia kwenye kesi kabla hata ya salaam, na kesi zenuewe haziishagi!
3. Umenyang'anywa uongozi wa familia.
4. Umevunja family traditions au expectations.
 
Baada ya furaha za mwanzo za maisha ya pamoja kuna baadhi ya wanaume huanza kunyemelea nyumba zao wenyewe. Mtu toka anatoka kazini anapiga mahesabu ya jinsi gani ataingia nyumbani bila kusababisha mfarakano. Wengine huja na giza za 'uchovu' wengine huja na giza 'kukasirishwa' na mtu huko na wengine huja na hata gia za 'unyonge'. Lengo la gia hizo zote na nyingine nyingi ni kutuliza hasira za mwenza wake pale nyumbani. Lakini wakati mwingine, mwanamme anaingia nyumbani kwa kunyemelea kwa sababu ya hofu ya kile atakachokikuta nyumbani siku hiyo.

Ni vitu gani hasa vinaweza kumfanya mwanamme apaone nyumbani pake pa chungu na hivyo kutafuta kila sababu ya kuchelewa au hata kukwepa kulala nyumbani siku fulani fulani?

Yote inatokana na kutokuwa na imani ya kidini na kutokufata maamrisho mema. Jee, maamrisho mema ya namna ya kuishi mke na mume yanapatikana wapi? kwenye kitabu kinachofundisha hadi watoto kuzini na baba yao? Jibu unalo!
 
Back
Top Bottom