Vitu gani ambavyo ni mtego?

Kuambiwa tatizo la kukatika umeme litaisha baada ya miezi 6
Bei ya mafuta ipo juu kwa ajili ya vita ya Ukraine na Russia.
Mambo yanavyoendelea sasa hivi huko Mashariki ya Kati hilo ma mafuta ujinge mikanda kabisa, usitegemee kuwa kuna ahueni hivi karibuni.


Njia yetu aliyobaki ni moja tu, kuiharakisha gas yetu itufae.

Hatuna pa kutokea. Umeme moya wa kila aina uharakishwe, tuanze kujifunza kutotumia mafuta ya kuagiza.

Kama ni mimi ningeshaanza kupiga marufuku magari 80% ya serikali na public Transport yaanze kuwa ya gas na umeme, tuwachane na mafuta ya kuagiza kwa kiwango cha kushinikiza kufuta matumizi yake kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom