Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

Kiranga,
Ukiwa mtu realistic huwezi kuuliza swali kama hilo la gotcha. Mimi nmesoma vitabu hivyo kwa hiyo najua nialosema siyo empty, ila sasa kutaka nikuetee vitabu ni beyond imagination.

Unajua kuwa vitabu vyote tunavyosema ni vya miaka ya sabini ambavyo havipo tena kwenye circulation. Halafu hata kama ningepata kopi zake, for sure sitatumia muda wangu kukuandikia summary ya kuonyesha plagiarim ya ideas kwani kutokana na halo effect uliyonayo kutkana na Musiba, hutakubali kuwa kuna plagiarism.

Kwa hiyo natoa conclusion kuwa umeshinda; nitakutumia kombe la ushindi kwa email.
 
Kichuguu, Usianzishe moto ambao huwezi kuuzima.

Tena kibaya zaidi unamsingizia jambo ambalo huwezi kuweka ushahidi marehemu ambaye hata hayupo hapa kujitetea.

Bila hata chembe ya ushahidi.

Umejitungia tu vitu kutoka hewani.

The level of your accusations should be matched with the level of your evidence.

Wewe umetoa accusation kubwa sana, halafu evidence zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga,
Nimekuahidi kukutumia Kombe;

Kitabu cha Kufa na Kupona kilikuwa maarufu sana mwaka 1978 na watoto wengi wa wakati huo tulikisoma, vile vile tulikuwa tulisoma vitabu vinginevyo vinginevyo kama Nick Carter, James Hadley Chase, Denise Robins, Agatha Christie na vinginevyo vingi.

Kwa vile umesema kuwa kitabu ndicho kilichukumitivate, inawezekana kuwa hukuwahi kuangalia upande mwingine wa waandishi, and it is understandable. Nitajaribu kutafuta copi ya Vatican Vendentta kwa watunza vitabu nikutumie usome halafu utaamua mwenyewe.

Kucriticize uandishi wa mtu siyo kumhukumu mwandishi awe hai au ni marehemu ndiyo kazi ya msomaji yeyote serious. Sisi tulicritisize hiyo Kufa na Kupona tukiwa Sekondari mwaka 1979, hilo siyo la leo.

1581283194366.png
 
Kichuguu, Sasa unanikabidhi kikombe au unaendeleza ushindani?

Mbona hata wewe mwenyewe unaonekana hujui unataka kufanya nini?

Nimesoma literary criticism. Nasoma book reviews. I subscribe to The New Yorker, The Wall Street Journal and The New York Review of Books.

And I do not write tge word "subscribe" in a shallow way. I mean it in the deepest way.As a way of literary life, not as in writing a check to get magazines and newspapers and journals I don't read.

Nimemsoma mpaka waandishi wanavyo criticize waandishi wengine. Nimemsoma Chimamanda Ngozi Adichie anavyomkandia V.S Naipul. Nimesoma Salman Rushdie alivyomkandia Robert Ludlum. I just finished reading Christopher Hitchens "Arguably" last year, which is full of essays on literary criticism. Nimeenda nyuma mpaka kwa kina H.L Mencken na Edmund Wilson huko.

So don't condescend me like I dont know what literary criticism is. Do not condescend me with the definition if plagiarism as if I need it.

Sijasema Musiba haja plagiarize, nasema wewe case yako ya kwamba ka plagiarize is so lazy.

You need to do better than that to build a valid case.

Or, if you can't, you need to shut up on that angle, until you are abke to build a proper case.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu cha Edwin Mtei: "From Goatherd to Governor" sijakiona kwenye list yako
Shkrani, kama unavyijua vingine zaidi ambavyo sijaweka kwenye list waeza nitajia nikaviongeza
 
Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao

Vitabu vya Watoto

1723737_Maandamano.jpg
 
RIWAYA

Tamthiliya

Jina la MuandishiJina la Kitabu
J.M. MbondeUandishi waTanzania. Michezo ya Kuigiza
Euphrase KezilahabiKaptula la Marx
Emmanuel MbogoMondlane na Samora
Said Ahmed MohamedAmezidi
Ebrahim HusseinMichezo ya Kuigiza (Wakati Ukuta & Alikiona).
S. Edwin SemzabaTendehogo

Katuni

Jina la muandishiJina la kitabu
James GayoKingo No. 1 (Comics)
Marko M. KombaKatuni za Chakubanga wa Mwenge 1979-1991
Said Mbwana Makatta BawjiVituko vya Komredi Kipepe

Ushairi
Hatarii
 
  1. VITABU VYA DINI

    VITABU VYA DINI

    Jina la MwandishiJina la Kitabu
    Lwandai P.O.Courses of Instruction
    Deogratias H. MbikuHistoria ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam
    Mwalimu Daniel MwankemwaSumu ya Udini
    Ibrahim Noor ShariffTanzania na Propaganda za Udini
    Tume ya Haki na Aman TECUtume kwa wafungwa
    Kwanini Tujali: Manufaa, Ustawi, kwa Wote
    Dr. C.A. Wendell na Mchungaji V.E. JohnsonSafari Ndogo, katika ufalme wa Kristo : Kitabu kidogo cha Historia ya Kanisa la Kikristo
    Antoni MakundeYafahamu makanisa yaliyoko Tanzania
    Nicolaus Israel MsseseKimada
    Alex KenyataMalezi na sala : Katika Kabila la Kimatengo kabla ya kuingia kwa Wamisionari Wabenediktine
    Leonidas KalugilaUongozi wa Kanisa : Historia fupi ya uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kwa maelezo na picha
    Hussein Bashir AbdallahUtukufu wa Zanzibar : historia ya Uislamu pwani ya Azania
    Benedictine Publications Ndanda PeramihoPapa Yohane Paulo II na kanisa la Tanzania
    Hussein SiyovelwaUdini Tanzania : Jinamizi linalotunyemelea : tatizo ni ukosefu wa dira
    Elinaza E. SendoroUamsho na karama : Roho Mtakatifu katika makanisa ya kihistoria Tanzania
    Judah Bernard Matata KiwoveleMalezi na elimu ya kiinjili katika nchi inayoendelea Tanzania : Mchango kwa mazungumzo ya tamaduni mbalimbali za makanisa ya kiinjili
    Julius Kambarage Nyerere
    1. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Marko.
    2. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Matayo.
    3. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Luka.
    4. Utenzi wa Enjili kadiri ya Utungo wa Yohana
    5. Utenzi wa Matendo ya Mitume
    Titus Amigu
    1. Makanisa na vikundi vya kidini,
    2. Busara za mzee,
    3. Kisa cha imani: Dini za miungu wengi
    4. Kwa nini wakristu hawakasiriki
    Hussein Bashir AbdallahKanisa na biashara ya watumwa
    Hamza Njozi
    1. Mwembechai killings and the political future of Tanzania
    2. Muslims and the State
    Kanisa la Biblia PublishersJubilii ya Kanisa la Biblia Tanzania, miaka 50
    Rev. Richard Lubawa, PhD.Shoulder to Shoulder: Bega Kwa Bega: A Lutheran Partnership Between Minnesota and Tanzania
    Elia Shabani MligoElements of African Traditional Religion
    Rev. Falres Ipyana Ilomo, PhD. 1. African Religion: A Basis for Interfaith Dialogue Today
    2. A Relevant Christian Eschatology for African Context Today
    William Ngowi,
    1. Introduction to the Pentateuch and Historical Books Introduction to Penuch
    2. Thus Says the Lord: Introduction to Prophetic Literature thus says the lord
    3. Maandiko ya Kiufunuo Maandiko ya
    4. Misemo ya Mababa wa Jangwani
    5. Paulo na Nyaraka Zake
    6. Utangulizi kwa Injili Utangulizi
    Adolf Mihanjo
    1. Falsafa na Ufunuo wa Maarifa: Kipindi cha kati, usasa, na mapambano ya ujenzi wa mihimili ya hoja za maadili, dini, sayansi na sheria Falsafa
    2. Falsafa na Usanifu wa Hoja - Kutoka Wayunani Hadi wa Tanzania Falsafa2
    Bp. Desiderius RwomaSala Kulingana na Mahitaji ya Wakatisala kulingana
    Pamoja Tusali na Kumwimbia BwanaPamoja
    JACEKA A. GORKAYOUTH MINISTRY IN THE FACE OF UNEMPLOYMENT
    Fr. Aquiline Tarimo,Human Rights, Cultural Differences, and The Church in Africa human rights
    Fr. Lazarus Msimbe,Kristo Mtu Mzima wakati wa Noeli Kristo
    General Venance Salvatory MabeyoWewe ni Shahidi wa Kristu
    Godfrey Mwakikagile
    1. Economic Development in Africa, ISBN 978-1560727088, Huntington, New York: Nova Science Publishers, Inc. June 1999
    2. Africa and The West, ISBN 978-1560728405, Huntington, New York: Nova Science Publishers, Inc. 2000
    3. The Modern African State: Quest for Transformation, ISBN 9781560729365, Huntington, New York: Nova Science Publishers, Inc., 2001
    4. Military Coups in West Africa Since The Sixties, ISBN 9781560729457, Huntington, New York: Nova Science Publishers, Inc., 2001
    5. Ethnic Politics in Kenya and Nigeria, ISBN 978-1560729679, Huntington, New York: Nova Science Publishers, Inc. 2001
    6. Nyerere and Africa: End of an Era, ISBN 9781931768740, Protea Publishing Co., Atlanta, Georgia, USA, 2002
    7. Africa is in A Mess: What Went Wrong and What Should Be Done (2004), ISBN 0980253470, Dar es Salaam, Tanzania: New Africa Press, 2006
    8. Tanzania under Mwalimu Nyerere: Reflections on an African Statesman, ISBN 978-0980253498, 2006
    9. Black Conservatives: Are They Right or Wrong?, ISBN 978-1596820036, 2004
    10. Nyerere and Africa: End of an Era: Expanded Edition with Photos, ISBN 9781593440954, 2005
    11. Relations Between Africans and African Americans: Misconceptions, Myths and Realities, ISBN 9780980253450, 2007
    12. Life in Tanganyika in The Fifties: My Reflections and Narratives from The White Settler Community and Others, ISBN 9780620359818, 2006
    13. Life in Tanganyika in The Fifties, ISBN 978-9987160129, 2009
    14. African Countries: An Introduction, ISBN 0-620-34815-1, Continental Press, Johannesburg, South Africa, 2006
    15. African Countries: An Introduction, ISBN 978-0620348157, 2009
    16. Africa After Independence: Realities of Nationhood, ISBN 9789987160143, Dar es Salaam, Tanzania: New Africa Press, 2006
    17. Life under Nyerere, ISBN 978-0980258721, 2006
    18. Black Conservatives in The United States, ISBN 978-0980258707, 2006
    19. Africa and America in The Sixties: A Decade That Changed The Nation and The Destiny of A Continent, ISBN 978-0980253429, 2006
    20. Relations Between Africans, African Americans and Afro-Caribbeans: Tensions, Indifference and Harmony, ISBN 978-0980258745, 2007
    21. Investment Opportunities and Private Sector Growth in Africa, ISBN 978-0980258776, 2007
    22. Kenya: Identity of A Nation, ISBN 978-0980258790, 2007
    23. South Africa in Contemporary Times, ISBN 978-0980258738, 2008
    24. South Africa and Its People, ISBN 978-0981425832, 2008
    25. African Immigrants in South Africa, ISBN 978-0981425825, 2008
    26. The Union of Tanganyika and Zanzibar: Product of The Cold War?, ISBN 978-0981425856, 2008
    27. Ethnicity and National Identity in Uganda: The Land and Its People, ISBN 978-9987930876, 2009
    28. My Life as an African: Autobiographical Writings, ISBN 978-9987160051, 2009
    29. Uganda: The Land and Its People,ISBN 978-9987930890, 2009
    30. Botswana Since Independence, ISBN 978-0980258783, 2009
    31. Congo in The Sixties, ISBN 978-1448665709, 2009
    32. A Profile of African Countries, ISBN 978-9987160167, 2009
    33. Africans and African Americans: Complex Relations – Prospects and Challenges,ISBN 978-9987930852, 2009
    34. Africa 1960 – 1970: Chronicle and Analysis, ISBN 9789987160075, Dar es Salaam, Tanzania: New Africa Press, 2009
    35. Nyerere and Africa: End of an Era, 5th Edition, ISBN 0980253411, Pretoria, South Africa: New Africa Press, 2010
    36. Zambia: Life in an African Country, ISBN 978-9987160112, 2010
    37. Belize and Its Identity: A Multicultural Perspective, ISBN 978-9987160204, 2010
    38. Ethnic Diversity and Integration in The Gambia: The Land, The People and The Culture, ISBN 978-9987932221, 2010
    39. Zambia: The Land and Its People, ISBN 978-9987932252, 2010
    40. Belize and Its People: Life in A Multicultural Society, ISBN 978-9987932214, 2010
    41. The Gambia and Its People: Ethnic Identities and Cultural Integration in Africa, ISBN 978-9987160235, 2010
    42. South Africa as a Multi-Ethnic Society, ISBN 978-9987932238, 2010
    43. Life in Kenya: The Land and The People, Modern and Traditional Ways, ISBN 978-9987932276, 2010
    44. Botswana: Profile of A Nation, ISBN 978-9987932290, 2010
    45. Uganda: Cultures and Customs and National Identity,ISBN 978-9987160273, 2011
    46. Burundi: The Hutu and The Tutsi: Cauldron of Conflict and Quest for Dynamic Compromise, ISBN 978-9987160310, 2012
    47. Identity Politics and Ethnic Conflicts in Rwanda and Burundi: A Comparative Study, ISBN 978-9987160297, 2012
    48. The People of Uganda: A Social Perspective, ISBN 978-9987160334, 2012
    49. Uganda: A Nation in Transition: Post-colonial Analysis, ISBN 978-9987160358, 2012
    50. Obote to Museveni: Political Transformation in Uganda Since Independence, ISBN 978-9987160372, 2012
    51. Uganda Since The Seventies, ISBN 978-9987160228, 2012
    52. Civil Wars in Rwanda and Burundi: Conflict Resolution in Africa, ISBN 978-0981425849, 2013
    53. Peace and Stability in Rwanda and Burundi: The Road Not Taken, ISBN 978-9987160327, 2013
    54. Africa at the End of the Twentieth Century: What Lies Ahead, ISBN 978-9987160303, 2013
    55. Statecraft and Nation Building in Africa: A Post-colonial Study, ISBN 978-9987160396, 2014
    56. Africa in The Sixties, ISBN 978-9987160341, 2014
    57. Remembering The Sixties: A Look at Africa, ISBN 978-9987160365, 2014
    58. Restructuring The African State and Quest for Regional Integration: New Approaches, ISBN 978-9987160433, 2014
    59. Africa 1960 – 1970: Chronicle and Analysis, ISBN 978-9987160075, Revised Edition, 2014
    60. Post-colonial Africa: A General Study, ISBN 978-9987160419, 2014
    61. British Honduras to Belize: Transformation of a Nation, ISBN 978-9987160471, 2014
    62. Why Tanganyika united with Zanzibar to form Tanzania, ISBN 978-9987160457, 2014
    63. Congo in The Sixties, Revised Edition, ISBN 9789987160495, 2014
    64. The People of Kenya and Uganda, ISBN 978-9987160402, 2014
    65. Namibia: Conquest to Independence: Formation of a Nation, ISBN 978-9987160440, 2015
    66. Western Involvement in Nkrumah's Downfall, ISBN 978-9987160044, 2015
    67. Africa: Dawn of a New Era, ISBN 978-9987160488, 2015
    68. The Union of Tanganyika and Zanzibar: Formation of Tanzania and its Challenges, ISBN 978-9987160464, 2016
    69. The People of Ghana: Ethnic Diversity and National Unity, ISBN 978-9987160501, 2017
    70. Africa in Transition: Witness to Change, ISBN 978-9987160082, 2018
    71. The African Liberation Struggle: Reflections, ISBN 978-9987160105, 2018
    72. Life under British Colonial Rule: Recollections of an African and a British Administrator in Tanganyika and Southern Rhodesia, ISBN 978-9987160426, 2018
    73. Conquest of the Mind: Imperial subjugation of Africa, ISBN 978-9987997817, 2019
    74. Colonial Mentality and the Destiny of Africa, ISBN 978-9987997824, 2020
    75. Across The Colour Line in an American City, ISBN 979-8654395894, 2020
    76. On the Banks of a River, ISBN 979-8666516584, 2020
    77. In the Crucible o Identity, ISBN 979-8675721689, 2020
    78. Reflections on Race Relations: A Personal Odyssey, ISBN 978-9987997831, 2021

    1. Vitabu vya kiada ( Darasani )
 
Naheshimu mchango wako ndugu yangu
 
Back
Top Bottom