- Thread starter
- #21
Nawe unaleta mjadala tofauti na uelewa wetu. Mbona wanaruhusu wazungu wa Ukraine kwani ni raia wa EU? Au unadhani Ukraine ni sehemu ya EU? Muhimu wote ni wakimbizi. awe mweusi au mzunguHivi kweli kwa akili ya kawaida kuna nchi yoyote ya Afrika inaweza jitokeza hadharani na kuiunga mkono URUSI?kwa sasa, tuweni wakweli?
Ni misaada kiasi gani anachotusaidia?kulinganisha na nchi za magharibi?yeye muombe msaada wa kukandamiza wapinzani, au vifaa vya kijeshi!!
Tatizo letu waafrika ni kitu kimoja tunapokuwa kwa wazungu, hata tukifanya kosa tunakimbilia kwenye ubaguzi tu!!
Jana kuna habari niliiona juu ya hilo eti kubaguliwa, kuingia nchi hizo kama poland, romania, hasa poland!!kwa wafrika wengi poland imekuwa ni lango kuu la kuingilia ulaya, na wao pale mpakani , ukraine lazima wajirizishe kwanza kama una documents zote halali za kuishi ukraine, wakuruhusu, kwani upande wa poland nao wana kagua je uliingia ukraine kihalali?!!sasa mtu documents zako hazieleweki kuwekwa pembeni kwanza kelele!!
Kwani ukishaingia poland tayari unakuwa na hadhi ya ukimbizi.Mbona wanafunzi wao hawakutani na kero hiyo kwani wako huko kihalali, wenye shida hii ni wale wanaoishi huko kwa kufanya kazi.