Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,066
- 12,651
Kwani yeye mjinga Corona imnyakue? Anatolea matamko chato hukoo.
Wewe kuna mikakati unaiona hapo ?!. Kama hata kuikarantiini tu Dar imeshindikana !!. Mikakati gani unaionaWatu Wawili wanastahili Kuwawakilisha Wananchi wote 55+ Million waliopo Tanzania? Halafu hakuna Rais Mseven kama ulivyoandika hapa bali kuna Rais Museveni. Vilevile haijaandikwa mahala popote pale kwamba ni lazima Rais fulani amuige Rais mwingine hasa katika Kukabiliana na Janga hili baya la CORONA. Anaweza akawa kweli hajitokezi Kuzungumza na Wananchi ila akawa anatoa Maelekezo yake ya uhakika kwa Wasaidizi wake hao akina Majaliwa na Ummy na bado mambo yakawa yanaenda vile inavyotakiwa. Halafu Watanzania hatuhitaji Rais ajitokeze hovyo hovyo bali tunahitaji Mikakati Madhubuti ya Serikali kwa Kushirikiana na Wadau juu ya Kulikabili hili tatizo. Na tunaposema kuwa Rais hajitokezi hadharani Kipindi hiki cha hili Janga sidhani kama ni kweli au tunamtendea haki kwani hata hapa juzi kati tu alijitokeza akiwa huko aliko na Kuligusia hili Suala ( Janga ) na Kulitolea Ufafanuzi na hadi Maelekezo mapya. COVID-19 si ya Magufuli pekee bali ni ya Watanzania, wana Afrika Mashariki, wana Afrika na Ulimwengu mzima. Ni kweli Rais Dkt. Magufuli kama Binadamu anaweza akawa na Mapungufu yake ila nasi hasa ( Wanasiasa wa Upinzani ) na Wanaomchukia kwasababu zao / zetu tu Binafsi tumezidi Kumtupia Lawama na Kumshutumu kupita Kiasi.
kwahiyo waliokimbia dar ni kina nan
Nimepita pale Ufipa naona wamejilockdown!
Wamekimbia wao wametuachia jiji sisi hatuondoki leo Wala kesho
Wewe kuna mikakati unaiona hapo ?!. Kama hata kuikarantiini tu Dar imeshindikana !!. Mikakati gani unaiona
Odhis *
Heh heh hao ndio wananchi?Tangu March 28, 2020 alipoonekana Chato akinywa kahawa, hadi leo hajatoka. Pasaka kailia nyumbani, mwezi sasa unakaribia kukata akiwa likizo. Je, huwa ana likizo ya siku ngapi?
Ni jambo jema lakini katika hali kama hii, yeye kama namba moja inabidi awe mfano katika mapambano haya akiwa ikulu ya Dar es salaam kwasababu hajatangaza kuhamia rasmi Dodoma.
Tunakuomba uige kwa Mseven, kwa Kenyatta, pia kwa John Trump wa USA.
View attachment 1425111
Huitaji ajitokeze hovyo hovyo au useme ukweli Kala kona, kama hajala kona mbona hatumuoni akitengua na kuapisha kama kawaida yake.. CORONA noma walifanya mzaha sasa acha tushike adabu woteWatu Wawili wanastahili Kuwawakilisha Wananchi wote 55+ Million waliopo Tanzania? Halafu hakuna Rais Mseven kama ulivyoandika hapa bali kuna Rais Museveni. Vilevile haijaandikwa mahala popote pale kwamba ni lazima Rais fulani amuige Rais mwingine hasa katika Kukabiliana na Janga hili baya la CORONA. Anaweza akawa kweli hajitokezi Kuzungumza na Wananchi ila akawa anatoa Maelekezo yake ya uhakika kwa Wasaidizi wake hao akina Majaliwa na Ummy na bado mambo yakawa yanaenda vile inavyotakiwa. Halafu Watanzania hatuhitaji Rais ajitokeze hovyo hovyo bali tunahitaji Mikakati Madhubuti ya Serikali kwa Kushirikiana na Wadau juu ya Kulikabili hili tatizo. Na tunaposema kuwa Rais hajitokezi hadharani Kipindi hiki cha hili Janga sidhani kama ni kweli au tunamtendea haki kwani hata hapa juzi kati tu alijitokeza akiwa huko aliko na Kuligusia hili Suala ( Janga ) na Kulitolea Ufafanuzi na hadi Maelekezo mapya. COVID-19 si ya Magufuli pekee bali ni ya Watanzania, wana Afrika Mashariki, wana Afrika na Ulimwengu mzima. Ni kweli Rais Dkt. Magufuli kama Binadamu anaweza akawa na Mapungufu yake ila nasi hasa ( Wanasiasa wa Upinzani ) na Wanaomchukia kwasababu zao / zetu tu Binafsi tumezidi Kumtupia Lawama na Kumshutumu kupita Kiasi.
Kweli wewe Ni mzushi unafikiri raisi ni kama vyicheo vyenu vya pale ufipa kutengua na kuteua Ni uamuzi wake atakapo ona msaidizi yupi atenguliwe yupi ateuliwe kumbe kwako ni big ishu ungedili Kwanza na matatizo ya Sacco's yenu ingekuwa Bora zaidi SUMU HAIONJWI KWA MDOMOHuitaji ajitokeze hovyo hovyo au useme ukweli Kala kona, kama hajala kona mbona hatumuoni akitengua na kuapisha kama kawaida yake.. CORONA noma walifanya mzaha sasa acha tushike adabu wote
Kumbe hanalolote,mwepesi tu.Corona ingekuwa chadema ingeisoma namba. Risasi za moto zingemwagika kama maji
Seek respect, not attention. It lasts longer