Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
Unapenda kampuni ganiWakuu kwa bajeti ya 700 napata simu gani classic na nzuri
Samsung for lifeUnapenda kampuni gani
Google pixel mkuuUnapenda kampuni gani
Hiyo vita ipo huko US ambako ukiwa na android unanyanyapaliwa. Huku kwingine tunaiga tu.
Nimeshawai tumia simu zote hizo kiukweli sitaweza kuja kutumia tenaInfinix, Tecno, itel,
Bado Vita inaendelea? Mashambulizi kwa kasi??
๐๐๐๐๐๐
Unanyanyapaliwa kwa nini mkuu?Hiyo vita ipo huko US ambako ukiwa na android unanyanyapaliwa. Huku kwingine tunaiga tu.
Hizi simu Gpixel zipo kama iphone kimuundo. Mtu akiziba camera utasema ana iphone.Wametuacha sisi wa pixel 9 kushuka chini
Ni kweli, hasa kuanzia 10Hizi simu Gpixel zipo kama iphone kimuundo. Mtu akiziba camera utasema ana iphone.
TecnoWakuu kwa bajeti ya 700 napata simu gani classic na nzuri
Sijawah tumiaTecno
Wapii wenye iPhone zenyuuuu!!