technews tech explore page

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗲𝘁𝗳𝗹𝗶𝘅 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗿𝗲𝗲𝗹𝘀

    Netflix imezindua Netflix Clips 🎬🔥 Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima. Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? 🍿📱
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗽𝘄𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗮 𝗡𝗴𝘂𝗺𝘂 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘂𝗷𝗶𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗵𝗮𝘀𝘄𝗮

    Wanasema pesa ngumu 😃 hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. 📈 Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗣𝗣𝗟𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗛𝗜𝗕𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗜𝗠𝗘𝗣𝗜𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗜𝗣𝗛𝗢𝗡𝗘 𝗔𝗨 𝗔𝗜 😀😀

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa “Apple Reference Image” ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. 🤯 Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 🔓🔥 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗟𝗜𝗡𝗭𝗜? 𝗶𝗢𝗦 𝟮𝟲 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝗜𝗻𝗮 𝗝𝗮𝗶𝗹𝗯𝗿𝗲𝗮𝗸!

    🍎 Apple alisema “iOS 26 ni salama kabisa…” 😏 haitaweza kuwa na jailbreak 👀 😈Jailbreak community: “Hold my iPhone!” 😂🔥 Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone. Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 🚨😱 𝗪𝗔𝗜𝗧… 𝗪𝗛𝗔𝗧?! 𝗥𝗘𝗗𝗠𝗜 𝗔𝗠𝗘𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜?!👇

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh 👋 Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa 🔥🔥, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh 🔋 + 185Hz ⚡ kwenye simu moja?! 🔥📱 inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. 📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google yawapa nguvu content creators wasiojulikana!

    Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋. 🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗰𝗹𝗼𝘂𝗱 𝘀𝘁𝗼𝗿𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝗱𝗮𝘁𝗮 𝘇𝗮𝗸𝗼 𝘇𝗶𝘀𝗶𝘄𝗲𝘇𝗲 𝗸𝘂𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio 🫢. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Achana na Blackberry kuna hii simu mpya ni balaa 2026

    Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 🫣 lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini?? Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator 👀. 🔺 Simu hii inatumia...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗲𝘀𝗲𝗷𝗶 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗸𝘄𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗮𝗶𝘀𝗲𝗲𝗵!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa 👇
Back
Top Bottom