Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Android vs Iphone _20251121_080706_0000.png
Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone.

Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa kufanya Kazi na Airdrop ya iphone. Hivyo watu watakua na uwezo wa kushare vitu mbalimbali kuanzia picha, videos na files zingine Kati ya Iphone na Android.

Android vs Iphone _20251121_053541_0000.png
Android vs Iphone _20251121_053541_0001.png


Imeachiwa rasmi Toka Jana Kwa watumiaji wa Google Pixels 10 ikiwa inafanya kazi na iphone zote, ipad na Macbook ambazo Zina support mfumo wa Airdrop.Kama unatumia Simu ya Google Pixels Fanya hivi

Android vs Iphone _20251121_053541_0002.png


Ingia setting >> tafuta Google Services >> All Service >> Privacy & Security >> System Service update Quickshare Extension. Utaweza kutuma picha, videos, Files zingine Toka android kwenda kwenye iphone bila shida yoyote.
 
Kumbe wakati vijana hawajulikani walipo wenzetu walikuwa wakihangaika na tech
 
Back
Top Bottom