BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
wote wana tamaa na uchu wa madaraka
Angalizo: Mimi si mfuasi wa CUF – natoa tu ushauri.
Hivi Julius Mtatiro bado hajui kwamba huu ni muafaka wa kujikweza katika medani ya siasa ndani ya CUF kwa huku bara?
Huu ugomvi mkali kati ya Wapemba wawili -- yaani Maalim Seif na Hamad Rashid Mohamed ni muafaka mzuri sana kwa Mtatiro kunyakuwa nafasi na kujipambanua katika CUF kukitetea chama kutokana na jinsi kinavyodidimia upande wa Bara.
Anachotakiwa kufanya ni mara moja kutoa tamko la kumuunga mkono Hamad Rashi Mohamed, hasa katika kauli yake kwamba CUF imepoteza mvuto Bara na kinatakiwa kifanye mabadiliko makubwa kiuongozi.
Mimi nadhani hata Prof Lipumba hatimaye angemuunga mkono Mtatiro – na hapo ndiyo ingekuwa mwisho wa Seif.
Au mnasemaje wadau?

Sasa huoni kama CUF ikifufuka kitasababisha chama chako kuwa mashakani? nadhani unajua watu wanakishabikia kwakuwa hawana mbadala.
Mungu nusuru nyumba ya jirani pamoja na kwamba ni mchawi.
Tanganyika hatuhitji siasa za vyama viwili kama kule Zanzibar, huku Tanganyika tunahitaji Demokrasia ya kweli na sio Chadema na CCM peke yao wahodhi siasa za Tanganyika. Big no!Sasa huoni kama CUF ikifufuka kitasababisha chama chako kuwa mashakani? nadhani unajua watu wanakishabikia kwakuwa hawana mbadala.
sikubaliani na wewe hata kidogo.