Vita kati ya Seif na Hamad Rashid yaibukia Manzese

Hamad Rashid ana hofu Vijana Wa Kizanzibari wakishikilia nafasi ya Ukatibu mkuu Muungano muda wowote unaweza kuvunjika na yeye hapendi iwe hivyo ndio maana anataka nafasi ya Katibu mkuu ili aiuze Zanzibar kwa kina Pinda, au nyinyi hamujui kama huyu Bwana katekwa na Mwanamke huko kwa Wadanganyika hata jimboni kwake kusahau! Wazanzibari tumeshamjua huyu jamaa na wala hatupi tabu na wachovu kama yeye walikuwepo tele tu ila sasa wanaona aibu hata kuikanyaga Pemba wanaishia huko huko kwa Wadaganyika. Msisahau kwamba CUF ndio Wanaume wa SIASA Nchini Tanzania na yeyote atakayepinga hili huyo ana Matatizo au ugonjwa wa Chuki Binafsi unamsumbua!

Kama seif alivyonunuliwa na kuwekwa kinyumba ikulu ya unguja sio?mara ya mwisho kumuona seif pemba ilikua lini?tatizo huo upemba wenu wote mnaufanyia dar na ulaya na marekani(boston mko wengi sana)kama wakimbizi tena siku hizi mnadai ni wakimbizi wa chadema maana mnajua mkisema ni wa cuf hamuwezi kupata asylum kwa kuwa dunia nzima seif alipewa kazi ya kuitangazia kwamba ugomvi umekwisha na ccm na cuf sasa dugu moja,kwanini huo upemba wenu msirudi kuufanyia nyumbani?
 
Maalimu seif amechakaa sana anahitaji kubadilishwa,vuguvugu la mabadiliko aliloanzisha Hamad Rashid wana cuf mnaokitakia mema chama chenu na upinzani kwa ujumla mliunge mkono,seif abaki na kazi za serikali wengine waendeleze mapambano,ccm najua watamhami seif katika hili lakini mkiwa ngangari ile yenu ya zamani watafyata mkia.Shime amkeni mwambieni seif inatosha sasa,mmepoteza ndugu zenu wengi sana kwenye mauaji baada ya chaguzi mbili zilizopita,damu zile haziwezi kupanguswa kwa mtu mmoja kupachikwa ikuli bila kazi maalum inayooleweka pale ikulu
 
Back
Top Bottom